Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kidum Kibido
Kidum Kibido
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Kidum Kibido
Kidum Kibido
Composer

Lyrics

(Nasema mpenzi, mpenzi) Mpenzi wewe Mpenzi wewe Mpenzi wewe Mpenzi wewe Mpenzi wewe, eh Nieleze, vipi mimi ntaweza kuishi bila wewe Ukiniacha ukienda zako, penzi wewe, eh? Kama ni ukweli yale naskia kwa majirani Ya kwamba utakuja kwenda zako, ooh Uliniahidi tutakuwa tukijadiliana kwa swali yangeleta utata Kwa nini chini chini unanificha yanayo kusinya? Lakini unayasema kwa majirani Kwa nini kando kando unanificha yanayo kuudhi? Lakini unayateta kwa marafiki, uh Ukiniacha, mi' ntalia Ukienda zako, ntabaki naumia Kama ungelijua (ungelijua) Uoga ninao wa kukupoteza, ndio nasema Baby nakuomba, please, baki nami Nasema mpenzi! Nakuomba baki tujaribu tena Tunayo nafasi ya kuanza tena, ah Tunayo nafasi ya kujikosoa Haturudi nyuma kamwe Haturudi nyuma kamwe Juliana we (Juliana we) Watu wanasema kama karibuni we' unaoa tena Na kwamba nianze kujipanga (si ukweli, nimekataa) Ni tahadhari kubwa kwangu na unanitisha, sijui nimekosea wapi Uliniahidi kama kila jambo lote la nyumbani ni muhimu kiliweka wazi Ni kuki shenge, uguma buri gihe umbabaza Kandi uzi ko ngukunda (nanje nako ngukunda yo) Ni kuki rukundo, uguma untera umujinya Ukica amatwi ngukunda, ah Ukiniacha, mi' ntalia Ukienda zako, ntabaki naumia Kama ungelijua (ungelijua) Uoga ninao wa kukupoteza, ndio nasema Baby nakuomba please baki nami (mpenzi, mpenzi wangu) Nasema mpenzi! Nakuomba baki tujaribu tena Tunayo nafasi (oh) ya kuanza tena (, baby, baby) Tunayo nafasi (ooh) ya kujikosoa Haturudi nyuma kamwe (aya-ya-ya) Haturudi nyuma kamwe (haturudi nyuma kamwe) Nasema, nasema, nasema Baby (baby) nakuomba, please, baki nami Baby please (nasema mpenzi!) Nakuomba baki tujaribu tena Tunayo nafasi (tunayo nafasi ye) ya kuanza tena (oh) Tunayo nafasi ya kujikosoa Haturudi nyuma kamwe (aya-ya-ya) Haturudi nyuma kamwe (haturudi nyuma, twasonga mbele, twasonga mbele) Tunayo nafasi, twasonga mbele Haturudi nyuma, haturudi nyuma, baby, baby Haturudi nyuma kamwe Oh, haturudi nyuma kamwe Haturudi nyuma kamwe, twasonga mbele (ooh)
Writer(s): Jean-pierre Nimbona Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out