Music Video

Bien x Aaron Rimbui - Mbwe Mbwe (Official Music Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Aaron Rimbui
Aaron Rimbui
Performer
Bien-aime Baraza
Bien-aime Baraza
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Aaron Rimbui
Aaron Rimbui
Songwriter
Bien-aime Baraza
Bien-aime Baraza
Songwriter
Benson Mutua
Benson Mutua
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Aaron Rimbui
Aaron Rimbui
Producer
Bien-aime Baraza
Bien-aime Baraza
Producer
Victor Mbogo
Victor Mbogo
Producer

Lyrics

Kunywa Maji Eh Ukimaliza kunywa pombe Peleka maisha pole pole Raha jipe mwenyewe zitoke Kunywa Maji Eh Ukimaliza kunywa pombe Peleka maisha pole pole Raha jipe mwenyewe zitoke Songa ugali Eh Foundation weka ya samaki Ni katikati ya January Kula ukashirishe kamati Twanga ugali Eh Foundation weka ya samaki Ni katikati ya January Haribu jina jenga mwili Ayoyo Aroro Fungua button ya shati imekukaba ko Fungua pia mshipi achilia tumbo Usiogope kukula jasho yako Mamama Aroro Nikona size yako yangu 4 by 4 Kadogo mali safi better than before Pesa sabuni na inaniosha roho Oh oh oh Hapa ni Mbwe Mbwe Hapana leta shida hapa ni Mbwe Mbwe Hapana leta vita hapa ni Mbwe Mbwe Na ukileta ngori ngumi mbwegze Hapa ni Mbwe Mbwe Hapa ni Mbwe Waiter mbili mbili hapa ni Mbwe Mbwe Wawili Wawili hapa ni Mbwe Mbwe Aroro na BienAime ni Mbwe Mbwe Hapa ni Mbwe Mbwe Piga kazi eh Kulima sichagui jembe Mzigo wangu wacha ni bebe Jipange ama tukupange Washa kitu eh Washa kitu shetani ahepe Si alijileta mwenyewe Hapa ni shangwe tu na Mbwe Mbwe Hapa ni Mbwe Mbwe Aroro Fungua button ya shati imekukaba ko Fungua pia mshipi achilia tumbo Usiogope kukula jasho yako (Kula jasho Yako) Mamama Aroro (Roro) Nikona size yako yangu 4 by 4 Kadogo mali safi better than before Pesa sabuni na inaniosha roho Oh oh oh Aroro Fungua button ya shati imekukaba ko (fungua button ya shati) Fungua pia mshipi achilia tumbo (Fungua mshipi) Usiogope kukula jasho yako Mamama Aroro (Roro) Nikona size yako yangu 4 by 4 (4 by 4) Kadogo mali safi better than before (Than before) Pesa sabuni na inaniosha roho (Osha roho) Oh oh oh Hapa ni Mbwe Mbwe Huku kwetu Huku masikini na wadosi Kuna ma-barbi na ma-odi Hatupangui rangi ya ngozi Lokesheni yetu Badilisha lokesheni Pesa ni mingi pombe haitoshi Nakuemeanza kunuka moshi Aroro Fungua button ya shati imekukaba ko (Shati) Fungua pia mshipi achilia tumbo (Tumboi) Usiogope kukula jasho yako Mamama Aroro (Roro) Nikona size yako yangu 4 by 4 (4 by 4) Kadogo mali safi better than before Pesa sabuni na inaniosha roho Oh oh oh Mbwe Mbwe Mbwe Mbwe Mbwe Mbwe Mbwe Mbwe
Writer(s): Bien Aimé Baraza Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out