Lyrics

Uuuh my baby Unanipa mateso kwa mienendo zako Nikikutafuta naumwa sana sababu ju sikupati Saa zingine unazima simu yako siku nzima Najipata niko katika hali ya kusumbuka Nakuona ukiwa tu online ukichata na watu Wengine ila ni Kwa mawazo nini basi unataka mimi nifanye Sema tuh neno majo Kama uko ndani aman je Nijue la kufanya nisipoteze muda Kujaaa Usiniwache nisipofahamu Mapenzi siyoo mchezo wa slasa Kama tunapendana Kama tunape ndani Kama tunapendana Kama tunapendani Ndani ndani Kwaka juzi Niliona ukibebwa kwa gari kubwa Na kila mumefunga vioo vya gari Bado niliweza kukuona ukitabasamu Ningependa unieleze ukweli Ni nini nafaa kukufanya Nione tabasamu lako Niweze kukufurahisha Unalipa mawazo Nahisi nikiwa kwa mateso Unanifanya kwa nikonde Wanashindwa ni nini mbaya na mimi Usiniwache nisipofahamu Mapenzi siyoo mchezo wa slasa Kama tunapendana Kama tunape ndani Kama tunapendana Kama tunapendani Usiniwache nisipofahamu Mapenzi siyoo mchezo wa slasa Kama tunapendana Kama tunapendani Kama tunapendana Kama tunapendani
Writer(s): Jean-pierre Nimbona Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out