Lyrics

Lord my papa eeh eh Dem call me Arrow boy Mungu baba, kijana wako tena Ni mimi huyu mbele zako Nina mambo mengi ya kusema Aaah Ooh Mungu baba Ni mtoto wako tena... Aah Ni mimi huyu mbele zako Nina mambo mengi ya kusema Ila naanza na shukurani (Shukurani) Vile umenijenga na mambo fulani (Aaah) Baraka tele (tele) Umenijazia sahani eeeh Thank you Lord for ma family Thank you for beautiful fans I pray they will never seek calamity No no no eeeh Am so thankful, thankful... Eeeh Am so greatful, greatful Am so thankful, thankful... Yeah yeaah Am so grateful, am so grateful yeah Kila kitu naomba unanipa Kisha nikutoke (aje) Umenijenga kwa hali na mali Kesho nijichoche (aje) Aah.nimeomba ukanipa Kesho nikutoke(aje) Umenijenga kwa afya na mali Kesho nikutoke eeeh (aje) Nikutoke aje eeehh Nikutoke aje Mi si mtakatifu Everyday am a sinner... Aaah yeah Kwa neema na faadhili zako Ukanipa uzima... Eeh Kwa maovu ninayo tenda Still you make me a winner Yeeeah A winner(A winner a winner) Nikumbushe nisisahau, Nikumbushe nisisahau... Yea yeah Acha nikupe shukurani, Mimi nikupe shukurani eeehh Kila kitu naomba unanipa Kisha nikutoke(aje) Umenijenga kwa hali na mali Kesho nijichoche (nijichoche aje) Nimeomba ukanipa Kesho nikutoke(aje) Umenijenga kwa afya na mali, Kesho nikutoke eeeh (aje) Nikutoke aje Eeehh (eeeeh) Nikutoke aje Kila kitu naomba unanipa Kisha nikutoke(aje) Umenijenga kwa hali na mali Kesho nijichoche (aje) Nimeomba ukanipa Kesho nikutoke(aje) Umenijenga kwa afya na mali, Kesho nikutoke eeeh (aje) Nikutoke aje Eeehh (eeeeh) Nikutoke aje
Writer(s): Ali Yusuf Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out