Lyrics

Ai ai ai (haha) Yeah (najidai) Ha ha Beat yenyewe ni ya mtu mzima hii (Ai ai ai) Najidai Ladies and gentlemen (Wooh) Once again (najidai) Haikai ka ni round two (haikai ka ni round two) Najidai Ni Nameless Anajidai Nyashinski Anajidai Na nyinyi Unajidai Na mimi Mi najidai (Wooh) Najidai Round hii najidai (eh ah) Ata kama sijawai Najida (Najidai) Definition ya kujidai Ni kuhave the highest point of your body Shall be your mapua Yani Unaiweka juu As if unataka kuwanusa tuu Ama unakunja hio sura Mpaka hizo vichwa zinafura Ka mandazi Yani Round hii Ni kujidai Wazi wazi Na uhakikishe umeiva kama diva Kujiskia as if unaown hii ni - Ati nani anaown hii ni - Have you ever heard of a junior achiever Hio ndio feeling natafuta Yani shining ka mafuta Na mafans tukipita nawajua Ni pleasure tu Ninakuwa sure Round hii najidai (eh ah) Ata kama sijawai Najidai (Najidai) Round hii najidai (eh ah) Ata kama sijawai Najidai (najidai) Roundi hii najidai (round hii najidai) Round hii najidai (eh ah) Ata kama sijawai Najida (najidai) Na kwa wale emcees walizaliwa juzi Mukikutana na mimi Piga saluti Nimekula chumvi ki-emcee Na sasa natafuta masters kama - Eti mulitudiss Na sisi bado tunaendelea kuwa dis-miss Bado munapiga show mbele ya kioo Sisi tukiunda doh Uliza Klepto Na madame wetu wako poa Cheki vile wanajipodoa podoa Lakini bro usiambie Wahu Si unajua ni kujidai tuu Round hii najidai (eh ah) Ata kama sijawai Najidai (najidai) Round hii najidai (eh ah) Ata kama sijawai Najidai (Najidai) Roundi hii najidai (round hii najidai) Round hii najidai (eh ah) Ata kama sijawai Najida (Najidai) Na naitoa live kama Larry King Sa mtani-saliva ama mtanisalamu kama salimin Nyashinski Nameless collabo ni hot ka Cardigan hit ni ka bomb za taliban Nawachezea tu Kaa kando uskie Vile mziki hufanywa inaeza kubamba ama uishie Mpaka udeadi utakuwa tu player hater Mi mpaka nidie si nitameta meta Nimeandika mpaka mistari imejaa Saa nafaa kuanza kuchora macaricature Ka Gaddo najidai ju hujanigusa bado Weh tuktuk na mi Landcruiser Prado Tutarace aje Lord Lord you're so slow I'll make you look so horrible Hii si mara ya kwanza kuniskia Nyashinski jina maringo mi hujiskia Oh Round hii najidai (eh ah) Ata kama sijawai Najidai (najidai) Round hii najidai (eh ah) Ata kama sijawai Najidai (Najidai) Roundi hii najidai (Round hii najidai) Round hii najidai (eh ah) Ata kama sijawai Najida (Najidai) Round hii najidai (eh ah) Ata kama sijawai Najidai (Najidai) Round hii najidai (eh ah) Ata kama sijawai Najidai (najidai) Roundi hii najidai (round hii najidai) Round hii najidai Ata kama sijawai Najida Najidai Madame wako powder Na machali wako dust off your shoulder (shoulder) Madame wako powder Na machali wako dust off your shoulder (shoulder) Madame wako powder Na machali wako dust off your shoulder (shoulder) Madame wako powder Na machali wako dust off Dust off your Dust off your shoulder (shoulder)
Writer(s): David Mathenge Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out