Lyrics

Miaka milioni Uuuh hii yeah County music baby Yeah Kukupata wee niliona maajabu Niliteseka nilipata taabu Kuishi mbali nawe sio jawabu Nilimwaga chozi lenye sababu Sababu ni wewe my boo Kuishi mbali na wewe sio jawabu Niliambiwa sina hadhi Hadhi ya kuwa na wewe Enzo wa kukufanya ule, ulale Kapoteza huna hamu tu! Mimi na wewe eeh! Nikama ndevu na kambale lazizi Ona wachawi wanafumba macho Hawaamini ikiwa wakionacho Hawaamini wewe wa kwangu Nami na kwako eeh Ulinitesa sana wewe mtoto Kuishi nawe naona kama ndoto Naota aah, naota aah! Aaah aah, wee kipanda roho Aaah aah, wee kipanda roho Wewe mama mjengo, wee kipanda roho Mama mama mama kipenda roho Wee kipanda roho Nipe nikupe ya moto moto Zima taa tusake watoto Tupate watoto kurwa na doto Kurwa na doto Twende honeymoon maphoto photo Tuwavimbie kina mpoto Tufanye malumbuzi mapocho pocho ooh Mapocho pocho oh! Mimi nawe miaka milioni Mpaka atakapotuchukua maanani Tumwache shehe atie ubani Tufunge pingu za maisha honey No my wife Usitest life eeh! Usijefanya nife baby, iiih eeh! Mimi nawe miaka milioni Mpaka atakapotuchukua maanani Tumwache shehe atie ubani Tufunge pingu za maisha honey Ulinitesa sana wewe mtoto Kuishi nawe naona kama ndoto Naota aah, naota aah Aaah aah,wee kipanda roho Aaah aah,wee kipanda roho Wewe mama mjengo, wee kipanda roho Mama mama mama kipenda roho Wee kipanda roho Mama mjengo kipenda roho, wee kipenda roho Yeah yeah yeah yeah Wee kipanda roho Yeaah yeah (wee kipanda roho) Yeaah yeah yeah (wee kipanda roho) (Wanene)
Writer(s): Aslay Isihaka Nassoro Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out