Lyrics

Me ni bazu ata credentials zilichange Na hatuko same me ni mspecial me ni gem Sifiki na range na pull up na mbogi strange Looku pia ni mbaya tuko dripping for days Na ka we ni boss ofkos marashi ni hugo boss Ndulla fila berret mbichi kama general Ka we ni boss ofkos marashi ni hugo boss Ndulla Fila berret mbichi kama general Boss up boss up Hii mwaka jo hio ndio lingo Ganji kwa pori Siezi sota nibaki zero Mboka ya profit Ndio nishindange bankiko Nikikucheki na nisibonge jo sikupendi we ni mrazi Revenue commerce Hio ndio syllabus, ikus nawai bure ka msupa ni mgenerous Murder kila track man I'm wavy siezi rust Tenje pia iko silent siezi cheki ka una flash Niko kila mahali on your faces kama mask Chuo nilikua nakinda mashashola after class Lakini bado Breeder after teo ni index one Nowadays shillingi ndio hunifanya nigo nuts Uh TK Leta zogo ka una guts na Sitaki hype ju ni kitu haiwezi last We ki roll na uki puff uki pass Man a boss nina brief case ina cash Me ni bazu ata credentials zilichange Na hatuko same me ni mspecial me ni gem Sifiki na range na pull up na mbogi strange Looku pia ni mbaya tuko dripping for days Na ka we ni boss ofkos marashi ni hugo boss Ndulla Fila berret mbichi kama general Ka we ni boss ofkos marashi ni hugo boss Ndulla Fila berret mbichi kama general Unaringa na ngeus anakaa semenya ukijidai we ndio Boss ay Vile ukidinya huyu ngeus uligenya Tukajua we ndio msoft ay Vile me huchill na mangeus wa vitenge lakini wajui jollof,ay Vile ulimi ilipatana na senye ukajua huyu madam alilost Niliskia clue ni sos, ay But huplay ma ngoks, ay Tangu nichote tots ye hukua mtaani akidishi mamboga Me nilishinda boss, ay Mbona punani ni soft, ay Mbona malaya hupeani kuma nadhani a like a boss ay Me ni bazu ata credentials zilichange Sifiki na range napull up na mbogi strange Me ni bazu ata credentials zilichange Na hatuko same me ni mspecial me ni gem Sifiki na range na pull up na mbogi strange Looku pia ni mbaya tuko dripping for days Na ka we ni boss ofkos marashi ni hugo boss Ndulla Fila, berret mbichi kama general Ka we ni boss ofkos, marashi ni hugo boss Ndulla Fila berret mbichi kama general
Writer(s): Paul Otieno Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out