Music Video

Whozu ft Billnass - Ameyatimba (Official Music Audio)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Whozu
Whozu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Oscar lelo
Oscar lelo
Composer

Lyrics

Zombie zombie zombie zombie utatuuua Nengaa Alitaka kunichukulia poa Kumbe mi mwenyewe ni mtoto wa town Mara oooh nakupenda ntakuoa Ashaniona boya kutwa kunipiga sound Alitaka kunichukulia poa Kumbe mi mwenyewe ni mtoto wa town Mara oooh nakupenda ntakuoa Ashaniona boya kutwa kunipiga sound Paparaparira parira pa parira papa Perepeperire pepe rire pepe Ameyatimba Aaaaaaaaah Ameyatimba Oooooooh Ameyatimba Aaaaaaaaah Ameyatimba Oooooooh Totototooh totototooh Totototooh totototooh Tatatatataah tatatatataah Totototooh totototooh Mtoto kavamia pombe kakutana na gang Kadhania Konde (Konde) Mtoto kadandia tonge yupo danger days Mi napambania kombe (Kombe) Mtoto fakamia yote Anavyochochea moto tukalipuke wote Mtoto kaniambia chonde Kakutana na beki nachapa miguu yote Alitaka kunichukulia poa Kumbe mi mwenyewe ni mtoto wa town Mara oooh nakupenda ntakuoa Ashaniona boya kutwa kunipiga sound Alitaka kunichukulia poa Kumbe mi mwenyewe ni mtoto wa town Mara oooh nakupenda ntakuoa Ashaniona boya kutwa kunipiga sound Paparaparira parira pa parira papa Perepeperire pepe rire pepe Ameyatimba Aaaaaaaaah Ameyatimba Ooooh Ameyatimba Aaaaaaaaah Ameyatimba Oooooooh Totototooh totototooh Totototooh totototooh Tatatatataah tatatatataah Totototooh totototooh Kweli naapa najuta kuwa na yeye Tatizo muongo muongo Ukimwona ka so yeye Kajichanganya ameyataka mwenyewe Tatizo muongo muongo Ukimwona ka so yeye
Writer(s): Oscar John Lelo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out