Lyrics

Ni furaha kujua yesu unaniwazia mema Ni furaha kujua yesu unanipangia mema Ni furaha kujua yesu unaniwazia mema Ni furaha kujua yesu unanipangia mema Unaniwazia mema Unanipangia mema Unaniwazia mema Unanipangia mema Unasema ata kabla kuzaliwa Nilikua nimepangiwa Ukasema sitaweza kukaziwa Ah kubaniwa Unajua mambo yako yote Mawazo yangu yote Unajua kasoro zangu zote Na ndoto zangu zote So baba sitacomplicate Baba ukisema sita hesitate Mambo ya shetani sita tolerate Kwa neno nita meditate meditate You have good plans for me for me for me You have good plans for me for me for me Ni furaha kujua yesu unaniwazia mema Ni furaha kujua yesu unanipangia mema Ni furaha kujua yesu unaniwazia mema Ni furaha kujua yesu unanipangia mema Unaniwazia mema Unanipangia mema Unaniwazia mema Unanipangia mema Uko na mi step step Kuniongoza nisihate step Uko na mi step by step Kuniongoza kila nikistep Ulipenda mapema Na umesema tena na tena Ulipenda mapema Na umesema tena na tena All things are working for my good for my good All things are working for my good for my good So baba sitacomplicate Baba ukisema sita hesitate Mambo ya shetani sita tolerate Kwa neno nita meditate meditate You have good plans for me for me for me You have good plans for me for me for me Ni furaha kujua yesu unaniwazia mema Ni furaha kujua yesu unanipangia mema Ni furaha kujua yesu unaniwazia mema Ni furaha kujua yesu unanipangia mema Unaniwazia mema Unanipangia mema Unaniwazia mema Unanipangia mema Ni furaha kujua yesu.
Writer(s): James Mukige Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out