Music Video

Vunja Mifupa
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Samba Mapangala
Samba Mapangala
Songwriter

Lyrics

Vunja mifupa kama meno bado iko. vunja mifupa kama bado meno iko... utakuja lia ukishapoteza muda wako... utakuja lia ukishapoteza muda waaako Fikiria kama ungali bado kijana aaa Tengeneza maisha yako usaidie jamii yako... masiku miaka zinaenda hazitarudia eee... masiku miaka zinaenda hazitarudi tena Kwa hivyo chunga ndugu yangu ee .usifate wale wabaya Kwa hivyo chunga ndugu yangu ee usifate wale wabaya Eeeeee... aaaaa Eeeeeee Punguza ulevi ndugu chunga jamii uako ee... watateseka bure kwa ajili yako Somesha mtoto shule... apate elimu eeee atafaidika kwa maisha yake Vumilia ndugu maisha magumu eee dunia ni hivyo... hivyo ndivyo ilivyooo Punguza ulevi ndugu chunga jamii yako ee watateseka bure kwa ajili yako Somesha mtoto shule. apate elimu ee atafaidika kwa maisha yake Vumilia ndugu maisha magumu ee... dunia ni hivyo. hivyo ndivyo ilivyo... ooo Siompeta... hahahaaa Samba mapangala.adiote paris... ooohh. jotoo Hima hima hima Ses hese ses Chini jujuu x 8
Writer(s): Samba Mapangala Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out