Lyrics

Mwana mapangale eeh tukupatie nyama choma eeh (kila mutu mikoni juu) Mwana mapangale eeh tukupatie kachumbali oooh Tuko njiani tunakuja yoyoyo Tuko njiani tunaimba aaa aaa aaah Tunawaletea muchezo wetu mupya aah Tunawaletea nyimbo zetu mupya aah Nyimbo ni sabuni ya roho oh oh Yanapunguza mawazo eh Tuko njiani tunakuja yoyoyo Tuko njiani tunaimba aaa aaa aaah Tunawaletea muchezo wetu mupya aah Tunawaletea nyimbo zetu mupya aah Nyimbo ni sabuni ya roho oh oh Yanapunguza mawazo eh Nairobi Mombasa Kakamega Kisumu Kisii Bungoma (eeh) Nakuru Malindi (eeh) Kirifi Meru (eeh) Namanga Masaku (eeh) Daresalaameeh Mwanza Arusha Musoma Iringa Mbeya Dodoma Moshi Tanga Shinyanga Zanzibareeh Nairobi Mombasa Kakamega Kisumu Kisii Bungoma Nakuru Malindi (eeh) Kirifi Meru (eeh) Namanga Masaku (eeh) Daresalaame eeh eeh Mwanza Arusha Musoma Iringa Mbeya Dodoma Moshi Tanga Shinyanga Zanzibare eeh eeh Tuko njiani tunakuja yoyoyo Tuko njiani tunaimba aaa aaa aaah Tunawaletea muchezo wetu mupya aah Tunawaletea nyimbo zetu mupya aah Nyimbo ni sabuni ya roho oh oh Yanapunguza mawazo eh Tuko njiani tunakuja yoyoyo Tuko njiani tunaimba aaa aaa aaah Tunawaletea muchezo wetu mupya aah Tunawaletea nyimbo zetu mupya aah Nyimbo ni sabuni ya roho oh oh Yanapunguza mawazo eh Kampala Mbale Mbalala Masaka Totoro Kabale Harua Jinja Basebo na Banyabo Lazima tupendane Kasese Entebbe Lubumbashi Lingasi Keleli Lukamo Kaleli Lukamo Ngoma Kisamani Keni Butembo Kinu Mbatemya Bunya Buhila Kigali Bujumbura Geuka geuka geuka geuka (Ah) geuka geuka geuka geuka Songa mbele songa mbele Songa mbele Rudi nyuma (eeh) Rudi nyuma Rudi nyuma rudi nyuma Dali Kimoko (eeh) Baba (yeeh) The best of the best (hehehe) Dali Mama Maria eeh (every body dance) Mama Maria eeh (yaya tukinata) Mama Maria eeh (yaya tukinata) Mama Maria eeh Mama Maria eeh (every body dance) Mama Maria eeh (yaya tukinata) Mama Maria eeh (yaya tukinata) Mama Maria eeh Geuka geuka geuka geuka Choma nyama wewe Nije na tule tufanye karamu Hata ikiwa ya sisi wawili Every body we dance now Geuka Geuka geuka geuka geuka Songa mbele songa mbele Songa mbele
Writer(s): Samba Mapangala Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out