Lyrics

Kila kitu ufanyayo lazima yapitie kwa waganga Badilisha hiyo tabia, eh Kila kitu ufanyayo lazima yapitie kwa waganga Badilisha hiyo tabia, eh Pesa zako hupatia kina dada Watafuta jina ama vipi? Pesa zako hupatia kina dada Watafuta jina ama vipi? Wake za watu hutongoza imejulikana Jihadhari utaishia shimo la tewa, ah Wake za watu hutongoza imejulikana Jihadhari utaishia shimo la tewa, ah Waongea kujenga ghorofa na huna kitu, eh Acha mdomo na maringo kaka (Iiidhan bluumba Afrika kabisa) Dunia tunapita, eh Kila kitu kitabakia, ah Binadamu ni mchanga, ah Kitabaki milele ni milima Dunia tunapita, eh Kila kitu kitabakia, ah Majivuno ni ya nini Kitabaki milele ni milima Warogaroga watu baba ah bure Waumiza Waafrika wenzako kwa nini? Madaraka wapigania kampuni sio yako Wala yake ni ya Mzungu Baba wape Haki zao wana matumizi pia Dunia tunapita, eh Kila kitu kitabakia, ah Binadamu ni mchanga, ah Kitabaki milele ni milima Dunia tunapita, eh Kila kitu kitabakia, ah Binadamu ni mchanga, ah Kitabaki milele ni milima Dunia tunapita, eh Kila kitu kitabakia, ah Majivuno ni ya nini Kitabaki milele ni milima Dunia tunapita, eh Kila kitu kitabakia, ah Binadamu ni mchanga, ah Kitabaki milele ni milima
Writer(s): Samba Mapangala Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out