Lyrics

Yeah-yeah (yeah-yeah) (Ruby) yeah (Taurus) Mapenzi hayana mwenyewe Unaweza penda kijana au mzee, eeh Niite jina langu baby Huenda nafsi yangu itapoa, aah Shika moyo wangu baby, unavyokwenda mbio wewe utapowa, ah-ah, ah Kuna muda namwomba Mungu angekuleta mapema, ohh Ila bado sio mbaya, wewe ndo unayejua maumivu yangu, hii baby Ila bado sio mbaya, wewe ndo unayejua maumivu yangu Sipo radhi unitoke machoni Tembea nami ndotoni, eh Nitakuweka moyoni Bila hofu rohoni, yi, baby Moyo wangu tembea na yule, na yule Ndo nampendaga Macho yangu mtazame yule, mtazame yule Namwamini sana Baby sitaki kutazama nyuma tena Mm, maumivu nilishayaona Wengi walinipotezea muda Mm, hakuna nlichokipata, ah-ah, ah Kuna muda namwomba Mungu angekuleta mapema, ohh Ila bado sio mbaya, wewe ndo unayejua maumivu yangu, hii baby Ila bado sio mbaya, wewe ndo unayejua maumivu yangu Sipo radhi unitoke machoni Tembea nami ndotoni, eh Nitakuweka moyoni Bila hofu rohoni, yi, baby Moyo wangu tembea na yule, na yule Ndo nampendaga Macho yangu mtazame yule, mtazame yule Namwamini sana Ohh, siwezi ukabwe maisho yangu Yatonaimi ndotoni hii, yeah, yeah Moyo wangu tembea na yule, na yule Ndo nampendaga (ndo nampendaga) Macho yangu mtazame yule, mtazame yule (oh, mtazame yule, mtazame yule) Namwamini sana Moyo wangu tembea na yule, na yule (tembea na yule, tembea na yule) Ndo nampendaga (ayi, yeah, yeah) Macho yangu mtazame yule, mtazame yule (yule) Namwamini sana (oh yeah, yeah)
Writer(s): Ruby Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out