Lyrics

Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami Upimwi kwa siku upimwi kwa miaka Huna hata Siri majira Uzuiwi na muda Umejawa na nguvu Ndio maama nakuita baba Moyoni mwangu najawa sifa na ujasiri katika wewe Hakuna mlima wa kuniangusha ndani yako nasimama Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami Nimezungukwa nawe kila upande hakuna jambo la kuniangamiza Majeshi yalo upande wangu Ni mengi sana kuliko hawa wa dunia Hatua zangu zaongozwa nawe Siangamii siteketei Katika wewe Nina simama Siteketei na nina dumu Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami Kwako bwana nasimama Tiba mwamba ni salama Kwako bwana nasimama eh eh eh For they that believe in you We shall stand firm forever forever Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami
Writer(s): Angel Benard Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out