Music Video

Christina Shusho-thamani ya wokovu | Gospel
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Christina Shusho
Christina Shusho
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Christina Shusho
Christina Shusho
Composer

Lyrics

Thamani ya wokovu wangu Anayejua ni mwokozi wangu Sikia Ngoja nikusimulie Habari ya kijana mmoja Kijana mtanashati Mpole kipenzi cha wengi Anazo sifa nyingi lakini Kuu kwake ni upendo Siku moja alikutana na mwanamke msamaria kisimani Kijana kamwomba maji Mwanamke naye kamuuliza Tangu lini wayahudi na wasamaria tukashikamana Kijana akamwambia Ungejua mimi ni maji yaliyo hai Ungekuja kwangu unywe maji Ili usiwe na kiu tena Mimi aliniona nilikokuwa nimechoka,nimechakaa Kijana kanipenda, kanichukua kanitengenezaaa Thamani ya Wokovu wangu Anayejua ni Mwokozi wangu Gharama ya maisha yangu Anayejua ni Muumba Nikisema nimeokokaa Mbona hamnielewiii Nikisema nimependwa mie Mbona mwanishangaaa Thamani ya Wokovu wangu Anayejua ni Mwokozi wangu Gharama ya maisha yangu Anayejua ni Muumba Nikisema nimeokokaa Mbona hamnielewiii Nikisema nimependwa mie Mbona mwanishangaaa Maisha ni hazina Iliyo mikononi mwa Mungu Hakuna ajuaye, salio la siku zake Ukiona ni mzima leo, hujui kesho itakuwaje Ndiyo maana nimeona nikukumbushe habari za Yesu Yeye akikupenda,wala hatoitoi kasoro Ukimupokea leo anabadili historia yako Atakuchukua hivyo ulivyo akufanye kiumbe kipya Hata kama unalia leo jua kesho utacheka Huyu Mwanaume Yesu ni wa ajabu wala hana mfano wake Upendo wake ulivyo mkuu kwetu akajiona heri ajitoe Aliacha enzi na utukufu mbinguni Akakubali mateso hata kifo cha aibu Akavuliwa nguo, ili mimi nipone Akatemewa mate ili mimi niwe huru eh Yeu Eh Yesu Thamani ya Wokovu wangu Anayejua ni Mwokozi wangu Gharama ya maisha yangu Anayejua ni Muumba Nikisema nimeokokaa Mbona hamnielewiii Nikisema nimependwa mie Mbona mwanishangaaa Thamani ya Wokovu wangu Anayejua ni Mwokozi wangu Gharama ya maisha yangu Anayejua ni Muumba Nikisema nimeokokaa Mbona hamnielewiii Nikisema nimependwa mie Mbona mwanishangaaa Thamani ya Wokovu wangu Anayejua ni Mwokozi wangu Gharama ya maisha yangu Anayejua ni Muumba Nikisema nimeokokaa Mbona hamnielewiii Nikisema nimependwa mie Mbona mwanishangaaa Thamani ya Wokovu wangu Anayejua ni Mwokozi wangu Gharama ya maisha yangu Anayejua ni Muumba Nikisema nimeokokaa Mbona hamnielewiii Nikisema nimependwa mie Mbona mwanishangaaa
Writer(s): Christina Shusho Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out