Lyrics

Mtetezi wangu Yesu anaishi leo Mtetezi wangu yu hai Mtetezi wangu Yesu anaishi leo Mtetezi wangu yu hai Mtetezi wangu Yesu anaishi leo Mtetezi wangu yu hai Mtetezi wangu Yesu anaishi leo Mtetezi wangu yu hai Ukienda kwa wanyama anaitwa Simba wa Yuda Mtetezi wangu yu hai Ukienda kwenye miti anaitwa mti wa uzima Mtetezi wangu yu hai Ukienda kwenye maji anaitwa maji yaliyo hai Mtetezi wangu yu hai Wewe usiye na chakula Yesu anaitwa mkate wa uzima Mtetezi wangu yu hai Ukifika kwenye miamba anaitwa mwamba imara Mtetezi wangu yu hai Hata kwa watawala Yesu anaitwa Mfalme wa Wafalme Mtetezi wangu yu hai Mtetezi mtetezi wetu Mtetezi wangu yu hai Mtetezi wa maisha mtetezi wa kanisa Mtetezi wangu yu hai (tuimbe) Mtetezi wangu Yesu anaishi leo Mtetezi wangu yu hai Mtetezi wangu Yesu anaishi leo Mtetezi wangu yu hai Mtetezi wangu Yesu anaishi leo Mtetezi wangu yu hai Mtetezi wangu Yesu anaishi leo Mtetezi wangu yu hai Ukienda kwa wagonjwa anaitwa mponyaji Mtetezi wangu yu hai Hata wenye huzuni anaitwa mfariji Mtetezi wangu yu hai Uliyesongwa na shida yeye anaitwa msaada Mtetezi wangu yu hai Mjane usifadhaike Yesu anaitwa mume wa wajane Mtetezi wangu yu hai Yatima usilie yeye anaitwa Baba wa yatima Mtetezi wangu yu hai Kwenye biashara yako muite Yesu mshauri wa ajabu Mtetezi wangu yu hai Mtetezi mtetezi Yesu Mtetezi wetu yu hai Mtetezi mtetezi Yesu Mtetezi wetu yu hai (tuimbe) Mtetezi wangu Yesu anaishi leo Mtetezi wangu yu hai Mtetezi wangu Yesu anaishi leo Mtetezi wangu yu hai Mtetezi wangu Yesu anaishi leo Mtetezi wangu yu hai Mtetezi wangu Yesu anaishi leo Mtetezi wangu yu hai Ewe mama usilie na ndoa yako mama Mtetezi wako yu hai Ewe baba usilie umefukuzwa kazi Mtetezi wako yu hai Kijana usilie mchumba amekukataa Mtetezi wangu yu hai Watumishi wa Mungu msifadhaike Mtetezi wetu yu hai Fanyeni kazi ya Mungu huyo aliyewaita Mtetezi wetu yu hai Hata kama mkibezwa, mkisemwa na kutukanwa Mtetezi wetu yu hai (tuimbe) Mtetezi wangu Yesu anaishi leo Mtetezi wangu yu hai Mtetezi wangu Yesu anaishi leo Mtetezi wangu yu hai Mtetezi wangu Yesu anaishi leo Mtetezi wangu yu hai Mtetezi wangu Yesu anaishi leo Mtetezi wangu yu hai Mtetezi wangu Yesu anaishi leo Mtetezi wangu yu hai Mtetezi wangu Yesu anaishi leo Mtetezi wangu yu hai Mtetezi wangu Yesu anaishi leo Mtetezi wangu yu hai Mtetezi wangu Yesu anaishi leo Mtetezi wangu yu hai
Writer(s): Christina Shusho Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out