Lyrics

Wasafi... Mhh mhh mh, eh Naona maajabu kinanizonga kizaa zaa Kila mahesabu ninayopiga yanakataa Nahisi mababu mizimu yao imechachama Au sina thawabu Mola nioyeshe nyota ya Jah Eeeeh Kulia nimelia nikamaliza leso, nimekosa kipenda roho Nimekaa subiria huenda akaja kesho Nilipododosa kote ngoma droo Mwenye mapenzi atokee anitetele Joto pepe anipepelee Niwe mtoto tetele ohoo tetele Anidekee deke dekelee Heee mi niepuke gundu (oooh gundu) Penzi linanichachia gundu (oooh gundu) Nuksi imenisishukia gundu (oooh gundu) Penzi chachia gundu (oooh gundu) Nuksi imenisishukia gundu Ama sina bahati jini gani kanivaa Aso na jema kwangu Ninaye mtaka simpati vihoja tu na kharaha! Yaani vangu vangu, mie lyee Nahisi nalala na gundu najisonya sonya! Penzi sasa bila udi ni malonya lonya! Nishapangwa kwa nakundi nikabonywa bonywa Licha ya wangu ufundi nikapokonywa mi nataka Mwenye mapenzi atokee (anitetele) Joto pepe (anipepelee) Niwe mtoto tetele (oh tetele) Anidekee deke dekelee Heee mi niepuke gundu (oooh gundu) Penzi linanichachia gundu (oooh gundu) Nuksi imenisishukia gundu (oooh gundu) Penzi chachia gundu (oooh gundu) Nuksi imenishukia gundu Iyo layzer
Writer(s): Siraju Amani Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out