Lyrics

Nichum unavyotaka Niguze unavyotaka my baby yeaah Nipande unavyotaka Kaa unavyotaka my baby yeah Oooh mwiba eeh (controller) Ooh mwiba eeh Oooh shiba eeh (controller) Ooh shiba eeh Nyuma yake ni rewind Yaani mambo fire, pull up selector She make me lose my mind, yaani mambo mbaya (Oooh fire) Yaani chuku chuku mchuzi wa pweza (mchuzi wa pwe) Kwenye bakuli la supu kunachombezaa (kunachombeza) Usije ukashika ukuta legezaa, ah ah aa Umeme utazima ruku utanipoteza, ah ah aa Amsha popo inakesha mabundi (simba) Njoto nikumbate kundi kundi (a-ah) Cha moto kutatemka vumbi (simba) Nipe gongo la moto kishungi Mauno yako yanimaliza, controller Kwa ufundi wako unanimaliza, controller Baby punguza mbio tusifike haraka, mmh mamama Punguza mbio tukawie kwa mapenzi, mmh mamam Kobe kobe Yaani mwendo wa kobe kobe, controller Kobe kobe Yaani mwendo wa kobe kobe, controller Chemsha bongo unikoroge moyo (aaaaeee moyo) Situpe gongo utaniacha doro (aaaaeee doro) Kwa bedi ni ligi la kicongo, fupa kibogoyo Chakula kinikivee cha moto nipashie kiporo Mwiba ooh mwiba eeh Aaee ooh mwiba eeh Nimeshiba ooh shiba eeh Aaee ooh shiba eeh Tiba ooh tiba eeh Aaee ooh tiba eeh Na mi dandoo baadaye Aaee doo baadaye, pupuchi Amsha popo inakesha mabundi (simba) Njoto nikumbate kundi kundi (a-ah) Cha moto kutatemka vumbi Nipe gongo la moto kishungi Mauno yako yanimaliza, controller Kwa ufundi wako unanimaliza, controller Baby punguza mbio tusifike haraka (mmh mamama) Punguza mbio tukawie kwa mapenzi (mmh mamam) Kobe kobe Yaani mwendo wa kobe kobe, controller Kobe kobe Yaani mwendo wa kobe kobe, controller Nichum unavyotaka Niguze unavyotaka my baby yeaah (controller) Nipande unavyotaka Kaa unavyotaka my baby yeah (controller) (Controller) (Controller) Kobe kobe Yaani mwendo wa kobe kobe Kobe kobe Yaani mwendo wa kobe kobe
Writer(s): Willy Paul Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out