Music Video

Nipe Kukumbuka
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
Songwriter

Lyrics

Hata nikiwa sina chakula Isinifanye kusahau Ulinilisha nikasaza Hata nikiwa sina mavazi Isinifanye nikufuru Nakusahau umeniweka hai Ona wapo marafiki Wanakosa kula na kuvaa Hawalalamiki wanakushukuru tu Mimi eeh, nilikupa nini Baba Cha kunipa kibali Kwa siku zilizofurahisha Tabu kidogo zisifanye nikusahau Umeshatenda mengi nikiwa hapa Eeh! Shida itapita bado kidogo Ikiwa nitachoka ninue Nipe ... (Kukumbuka wema) Ooh Nipe... (Kumbuka wema) Aahh Nipe (Kumbuka wema) Nipe... Wako... Nipe ... (Kukumbuka wema) Nipe... (Kumbuka wema) Ooh Nipe... (Kumbuka wema) Oooh... Wako ooh... Hata kwenye bonde hili la mauti Nakumbuka nilikuita Na wewe ukaitika, Baba Kutegemea akili zangu Na mawazo Yangu... Kutanifanya niendelee Ah niendeleee kulalamika Kuna kipindi najisahau Na kujivunia mafanikio Wengine naona taka taka. Eh! Nikumbushe mi ni MTU tu Na dunia tunapita Uhai wangu si faida bila wewe Mungu Wewe nii mkuu Kuliko vile nakutazama Baba Unisamehe unisamehe Kuna nyakati nadhani Hii dunia labda ni ya ushindani Natumia akili Zangu za ndani Ila bado nashindwa kuendelea Nikumbushe nisidhani Wakifanikiwa tuna upinzani Nifundishe kuwaombea amani Na utatenda kwa wakati Na ikiwa kama Nikisahau Unikumbushe mi mtoto wako Kama nikisahau Unikumbushe mi mtoto wako Nipe ... (Kukumbuka wema) Ooh Nipe... (Kumbuka wema) Aahh Nipe (Kumbuka wema) Nipe... Wako... Nipe ... (Kukumbuka wema) Ooh Nipe... (Kumbuka wema) Ooh Nipe... (Kumbuka wema) Ooohoo... Wako... Oh wewe wewe (kumbuka wema) Kumbuka wema... Kumbuka wema... Wako. Hata nisipofanikwa (Kumbuka wema) Nikarudi kwenye dhiki (Kumbuka wema) Kupoteza marafiki (Kumbuka wema) Unikumbushe kumbushe tu (wako) Baba Yangu (Kumbuka wema) Ooooh Nikumbuke pia (Kumbuka wema) Oooh fadhili zako (Kumbuka wema) Unikumbushe Jehova (Kumbuka wema) Unikumbushe Masihi (Kumbuka wema) Kwamba uliniumba niwe (Kukumbuka wema) Vile utakavyo oooh wakoo ooh
Writer(s): Goodluck Gozbert Wiki Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out