Lyrics

Mmh, mmh Hey, hey Nawala sio sababu ya jina langu Wala sio sababu ninafaa Najua sio sababu ya sadaka zangu Oh, maana ndio bado ninashangaa Nilijua kwamba nimeshapoteza nafasi Mim ni nani Bwana nakosa neno kusema Unisamehe sikujua unanipenda hivi Umefanya bure, sawa na upendavyo Umeruhusu niwe vile upendavyo Nitakushukuru tu kwa neema Asante tu kwa wema Ninakushukuru tu kwa neema Asante tu kwa wema Maana kama si wewe (kama si wewe, ningekua wapi?) Kama si wewe (kama si wewe, ningekua wapi?) Maana kama si wewe (kama si wewe, ningekua wapi?) Maana kama si wewe (kama si wewe, ningekua wapi?) Wacha machozi, (wacha machozi yanitiririke tu) Yanitiririke, (wacha kilio nikulilie Mungu) Basi wacha machozi, (wacha machozi yanitiririke tu) Eeh, wacha kilio eh, (wacha kilio nikulilie Mungu) Natafuta cha kunitenga nawe, bado sijaona Nilishakatwa katwa moyo nakupondwa na wanadamu Leo watanambia nini?, nikiwa nawe Leo watanambia nini? uuh, nikiwa nawe Pesa huitwa sabuni, ila maji ni wewe Unioshe Bwana, nitakase hiee Nitakushukuru tu kwa neema Asante tu kwa wema Ninakushukuru tu, kwa neema Asante tu kwa wema Maana kama si wewe (kama si wewe, ningekua wapi?) Maana kama si wewe (kama si wewe, ningekua wapi?) Kama si wewe (kama si wewe, ningekua wapi?) Maana kama si wewe (kama si wewe, ningekua wapi?) Wacha machozi, (wacha machozi yanitiririke tu) Eeh, acha kilio eh, (wacha kilio nikulilie Mungu) Basi wacha machozi, (wacha machozi yanitiririke tu) Eeh, wacha kilio eh, (wacha kilio nikulilie Mungu) Aah! Asante
Writer(s): Goodluck Gozbert, Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out