Lyrics

Kuna wakati wa kulia Wakati wa kuomboleza Wakati wa kusema mungu Mbona umeniacha Mana hakuna wakati mgumu Kama wakati wa shida Ata ndugu yako wa damu atajitenga nawe Utasema labda mpendwa mwenzangu atanisaidia Hata mpendwa mwenzio atajitenga nawe Utasema labda mpendwa mwenzangu atanisaidia Hata mpendwa mwenzio atajitenga nawe Nimejifunza kwamba wakati wa matatizo ata yule aliyekupenda anajitenga nawe Mana hata wakati wa yesu katika kikombe cha mateso wengi waliyempenda walijitenga naye Hata wanafunzi wake
Writer(s): Martha Mwaipaja Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out