Lyrics

Terminal, watch do, for the lap Watch do, for the lap Give lap, give lap, for the lap Give lap for the lap Usijali unapakwa hina, unapaka poda Fanya mambo yako nakungoja moyo umeshakata Mi nafata Oda huwezi kukata Kiu mai kwa kisoda Message sent, shika Kamata Kama unataka mapenzi yako hapa mchaka Chaka, chapa chapa, wakituona wanatapatapa Wameweka kambi maeneo haya wanasema UA zuri limeota pabaya Never die, never expire tusichezee mapenzi ya moto fi Ahh aah kama mapenzi safari, mi kwako nishafika unapokwenda Au kama bahari oh basi nifunze kuogelea Na ungekuwa mchezo sio kamari au kubeba Maji kwenye tenga, leo mbele yako nakula kiapo Wallah mie sina mwingine tena, wakufanya nicheke Na kama chanda we ndo chema cha kuvikwa na Pete Wallah mie sioni mwingine tena wakufanya nicheke Hh,, na kama chanda we ndo chema cha kuvikwa na Pete Terminal, watch do for the lap, for the lap Watch do, for the lap, for the lap Give lap, give lap, for the lap Give lap, for the lap Ehh kwenye miba nachechemea for my woman Bahari ntaogelea for my woman I real man care for the woman nani anaeweza kukosea kama Yiuman Nakufanyia change zitakupatia mapenzi, zitakutungia tenzi nikuimbie Nikusifie, ujisikie uko na mie sogea nikuambie siwezi acha kiti chako MTU akalie, siwezi vunja moyo wako sitaki Uumie Yes I do, am tell the trues, my heart, my love, all I give to you Ahh kama mapenzi safari Mi kwako nishafika unapokwenda au Kama bahari ohh basi nifunze kuogelea Na ungekuwa mchezo sio kamali au kubeba Maji kwenye tenga Leo mbele yako nakula kiapo Wallah mie sina mwingine tena wakufanya nicheke Na kama chanda we ndo chema cha kuvikwa na Pete Wallah mie sioni mwingine tena wakufanya Nicheke na kama chanda we ndo chema cha kuvikwa na Pete Terminal, watch do, for the lap Watch do, for the lap Give lap, give lap, for the lap Give lap, for the lap Shika kamata, yapo hapa, chapa chapa, wakituona wanatapatapa Mixing Killer Never die, never expire, usiniletee mapenzi ya moto fire Abaaaah
Writer(s): Ramadhani Thabit Shariff, Sweetbeth Mwimula, Omary Mwanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out