album cover
Propaganda
7,790
Hip-Hop/Rap
Propaganda was released on February 3, 2009 by CheusiDawa Ent as a part of the album Propaganda
album cover
Release DateFebruary 3, 2009
LabelCheusiDawa Ent
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM90

Credits

PERFORMING ARTISTS
Fid Q
Fid Q
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Fid Q
Fid Q
Songwriter

Lyrics

[Chorus]
Polisi wanasupport gangstar rap ili wahalifu waongezeke
Wabana pua kuimba mapenzi je itafanya ukimwi usepe
Media zinapromote beef wanadai zinakuza mziki
Wadau wana wasanii wabovu juakali utatoka vipi
Hizi ni propaganda usiulize ni nani ni yupi
Saa ngapi ilikuaje na nani iliiweje
Hizi ni propaganda utaibiwa ukicheza blanda (Yule last king of Scotland sio IddAmin wa Uganda)
[Verse 1]
Machungu yanapozimwa ili ufunikwe na asiyeweza
Mbaya zaidi wanampa promo lakini kwenye show unameza
Hautaki kuwa tatizo sababu unaweza tatuka
Huwezi jua wapi ntatoka iwe gizani nikitupwa
Wanaficha ili nisione wakati tayari nishajua hamkomi
Igeni nione jinsi msamba mnavyoupasua
Ivi unaishi ili ule au unakula ili uishi
Kumbuka a small link will sink a ship
Mazingira hatarishi mabawana afya wanapesa mob
Uswazi tunaomba mvua zinyeshe ili tusafishe vyoo
Ogopa kuoa haraka kama unaogopa taraka
Na ukivote in a hurry ujue unaproduce corruption
Maneno yao matam midomo yao inanuka
Ukipewa usisahau ukitoa toa bila kukumbuka
Usihofie kupitwa ilimradi muda haukuachi
Amini kesho itafika kama ipo ili uipate
Tunachukiana sababu tunaogopana
Tunaogopana kwa sababu hatujajuana
Hatujuani sababu tunatengana
Dunia ni nzuri walimwengu hawana maana
[Chorus]
Polisi wanasupport gangstar rap ili wahalifu waongezeke
Wabana pua kuimba mapenzi je itafanya ukimwi usepe
Media zinapromote beef wanadai zinakuza mziki
Wadau wana wasanii wabovu juakali utatoka vipi
Hizi ni propaganda usiulize ni nani ni yupi
Saa ngapi ilikuaje na nani iliiweje
Hizi ni propaganda utaibiwa ukicheza blanda (Yule last king of Scotland sio IddAmin wa Uganda)
[Verse 2]
Polisi huniita mzururaji na wanajua me ni MC
Kisha hunipa ishara kama wanavuta radi kwa tasbii
Baya lisilonidhuru ni jema lisilo na faida
Nashukuru kote naskika ninapotoa haya mawaidha
Kuanzia kata tarafa wilaya mikoa hadi ngazi ya taifa
Nikifa siachi scandle nina uhakika ntaacha pengo
Kwa hivi vina hata wakulima hujikuta wanameza mbegu
Pia ni kama liberation struggle machoni mwa chegu
Ukiwa mkali kama makochali raia watafeel tu
Wajinga ndo hufa kwa wivu sababu hawako real tu
Rafiki sio rafiki usipochanganywa na kazi
Mlango sio mlango hadi ufungwe au uachwe wazi
Hupaswi kumwamini muongo hata kama akiongea ukweli
Dhambi kutumia dini kama njia ya kutapeli
Wanajiingizia kipato kwa kivuli cha misaada
Hawatufunzi tuwe viongozi labda viongozi wa kuwafata
Utata huja tunapoanza kuwachunguza
Badala ya kuwafata ndipo siri zinapovuja
Tunajenga tabia kisha tabia zinatujenga
Ukishindwa kujiendesha ujue mwenyewe tu ulipenda
Kama umevutiwa na asali jiandae kumkwepa nyuki
Huwezi kumtisha kwa mawe adui aliyeshika bunduki
Ni uchunguzi tu wa kisayansi ambao haukufanikiwa
Kama ng'ombe kula nyasi tu alafu anatoa maziwa
[Chorus]
Polisi wanasupport gangstar rap ili wahalifu waongezeke
Wabana pua kuimba mapenzi je itafanya ukimwi usepe
Media zinapromote beef wanadai zinakuza mziki
Wadau wana wasanii wabovu juakali utatoka vipi
Hizi ni propaganda usiulize ni nani ni yupi
Saa ngapi ilikuaje na nani iliiweje
Hizi ni propaganda utaibiwa ukicheza blanda (Yule last king of Scotland sio Idd Amin wa Uganda)
Written by: Fid Q
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...