Lyrics

Turururu ruru rurururuuu mmmnh...! mnh...! Kama mapenzi ni uchawi umeniendea ngende Maana nahisi nimezaliwa nije nikupende Aah...! Jangwani pakavu umeota mtendee Eeh...! Waubani waubavu sema wapi twendeee Jua mapenzi ni siri iiiih yani toka enzi zile za mababu Usije ukaghairi babee mazoea yakanipa tabuu uuuh Aaaaah chuchuchu basi nipe hata kiduchu Sifa ya mume awe na uchu usiruhusu nikapiga puchu Eeeeeh chuchuchu basi nipe hata kiduchu Sifa ya mume awe na uchu usiruhusu nikapiga puchuuuuh uuuh uh Oooh baby you make me sing this song Ni wewe ni we (ni weeeh) Ni wewe (I don't wanna do you wrong) Ni wewe (ooh baby ni wee) Njagala kuvaa nawee Ni wewe ni we Ni wewe ni we Ni wewe ni we (eeeh njagala kuvaa nawee ma baby) Mapenzi asili yake upofu na unapopenda hupaoni Usishangae mtu kuacha minofu na akala vya vichochoroni Aaaaah Halima kwa ajili yako ninajinyima Penzi nishakatia na bima Moyo wangu kata we ndo kisima mmmh baby baby Nakuitaga mtaka cha uvungu kwa maana hata tabu kuinama Na unapolishika hilo rungu mwenzako vinywele vinanisimama Aaaaah tututu usizinyoe nikusuke mabutu Mkunaji kapewa ukurutu Yani kama chuma kinaliwa na kutu Aaaaah tututu usizinyoe nikusuke mabutu Mkunaji kapewa ukurutu Yani kama chuma kinaliwa na kutu I swear baby you make me sing this song Ni wewe ni we (ni weeeh) Ni wewe (I don't wanna do you wrong) Ni wewe (ooh baby ni wee) Njagala kuvaa nawee Ni wewe ni we Ni wewe ni we Ni wewe ni we (eeeh njagala kuvaa nawee ma baby)
Writer(s): Rajab Kahali Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out