Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Modest Morgan
Modest Morgan
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Modest Morgan
Modest Morgan
Songwriter
Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama Lutheran Church
Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama Lutheran Church
Songwriter

Lyrics

Hakuna Mungu kama wewe Yahweh (Aa, aa), hakuna Mungu kama wewe Yahweh (Aa, aa)
Unaweza ye-ye-ye, hakuna Mungu kama wewe bwana aa
Unaweza ye-ye-ye, hakuna Mungu kama wewe Bwana aa
Hakuna mungu kama wewe Yahweh (Aa, aa), hakuna mungu kama wewe Lesa, (Aa aa), wa neema
Wa neema ye-ye-ye, hakuna Mungu kama wewe Bwana aa
(Wa neema) Wa neema ye-ye-ye, hakuna Mungu kama wewe bwana aa
Hakuna Mungu kama wewe Kyala, (Aa, aa), hakuna mungu kama wewe Nguluvi (Aa, aa), wa baraka
Wa baraka eh, eh, eh, hakuna Mungu kama wewe Bwana aa
(Ooh wa baraka) Wa baraka eh, eh, eh, hakuna Mungu kama wewe Bwana aa
Hakuna mungu kama wewe Katondo (Aa, aa), hakuna Mungu kama wewe Yahweh (Aa, aa)
(Unaweza) Unaweza ye-ye-ye, hakuna Mungu kama wewe bwana
(Oh wa rehema) Wa neema ye-ye-ye, hakuna Mungu kama wewe Bwana aa
(Oh wa upendo) Wa upendo ye-ye-ye, hakuna Mungu kamą wewe Bwana aa
(Wa upendo) Wa upendo ye-ye-ye, hakuna Mungu kamą wewe Bwana aa
Sifa, sifa, sifa kwa yesu (Amen!) Sifa, sifa, sifa kwa yesu, Amen! Sifa kwa yesu, (Amen!) sifa kwa yesu, (Amen!)
Bariki, (Amen!) Bariki (Amen!) Bariki, (Amen!) Bariki (Amen!) Bariki (Amen!) Bariki (Amen!) Bariki (Amen!)
Kama unampenda Yesu sema Amen (Amen), kama unampenda Yesu sema Hallelujah (Hallelujah)
Hakuna mungu kama wewe Lesa (Aa, aa), hakuna Mungu kama wewe Yahweh (Aa, aa)
(Wa rehema) Wa neema ye-ye-ye, hakuna Mungu kama wewe Bwana aa
(Oh wa huruma) Wa huruma ye-ye-ye, hakuna Mungu kama wewe Bwana aa
Hakuna Mungu kama wewe Mulungu (Aa, aa), hakuna mungu kama wewe Yahweh (Aa, aa)
(Wa uweza) Wa uweza ye-ye-ye, hakuna Mungu kama wewe Bwana aa
(Wa baraka) Wa baraka ye-ye-ye, hakuna Mungu kama wewe Bwana aa
Written by: Modest Morgan
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...