Lyrics

Mama, mama, mama La mama eeh (Ayolizer) Mola amenipa sauti niimbe Nakuimbia wewe, ai Woman of my life baby mama Nakupa mabawa, fly Nani ata dawa utapime Uzuri wako wewe, mine Material wife huna drama Niende kwa mwingine, why? Cha mapenzi kinaa kipime Uone dhahiri upendo wangu Usije kunitupa wewe (Aaah wewe) Sina mwingine Na sitobadili chaguo langu Moyo wangu nakupa wewe (Aaah wewe) Chocolate colour nywele laini Lips mafuta na zina shine Nguo za kung'ara your design Thanks to the Lord now you're mine Sema pwani ama mabara wapi fine Tukitoka out tukanywe wine Figure 8 kinara sio nine Unapenda wasafi tutaku sign We ndo mama mama, mama la mama We ndo mama mama, mama la mama We ndo mama mama, mama la mama We ndo mama mama, mama la mama eeh Nikitazama sura yake namwona modo Naiona taswira ya adabu sioni nyodo Nauona mpapai alafu unafwata embe dodo Nawaona wasopenda amani wote macho kodo Ah ningepeleka wapi hichi kichwa kigumu Ningepata wapi mwanamke wa kudumu Ajiunge na Wasafi tusukume gurudumu Na mnajuaga sitaki haya mambo ya kunywa sumu Aah mama la mama, ooh mama mia aah Kwako nimezama nimezama, nimezamia aah Nihifadhi kama maji kwenye mwili wa ngamia Usijali kuhusu mambo ya tango na vibamia Nichakaze shawty, nikanyage sorry Kwangu kuwa mchaga asubuhi nile kama mtori Tafadhali shawty usinipandishe mori Na ukinipa nyama naila kama mnyama pori We ndo mama mama, mama la mama We ndo mama mama, mama la mama We ndo mama mama, mama la mama We ndo mama mama, mama la mama
Writer(s): Raymond Mwakyusa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out