Lyrics

Nimesamehe Nimesamehe Nimesamehe Baki na Amani Nimesamehe Nimesamehe Nimesamehe Ili nisamehewe Sisoneke moyoni Usijiumize na Dunia hayafurahishi Ni wengi walioniumiza Kuuguza moyo wangu Ilinigharimu sana Wazazi au Ndugu Rafiki, mpenzi, wanaweza kuumiza moyo wako Nilitunza mengi moyoni visasi Ila nasamehe baki na furahaa Wakati Mzazi anaangaika kunitafutia chakulaa Hawakutaka kunisaidia Leo hii nimefanikiwa wanitaka Wamesahau aliwatafuta wakamtimua nenda Wajua ninamaumivu ya moyo Mengi katu siwezi sababu Ila Ninasamehe Ninasamehe Wala sio kwa ajili ya mtu Wala sio kwa ajili ya Dunia Ila kwa moyo wangu na amani ya kesho Nimesamehe Nimesamehe Nimesamehe Baki na Amani Nimesamehe Nimesamehe Nimesamehe Ili nisamehewe Marafiki wengi huja ukiwa nazo zikiondoka Hautowaona tena Niliharibu kwa ndugu zangu Kusimama na huyu mwenzangu Badaee akanisalitii Nikaukana utu wangu Kuonesha Upendo wangu Niliyemuhangaikia leo ananisema vibaya Natafakari Wanadamu Tuna mioyo gani Kama Wanyama Hatuna hurumaa Yani mpaka ninahurumiwa na watu Mateso yasiishaga katu Nimeyaacha Ninamuachia Mungu Kama moyoni mwangu Pale hawakuthamini Hata nisiposamehe Hawawezi jifunza Sio wote wataniomba msamaha Wengine walikufaga Sijui nitatunza vya nini Wajua ninamaumivu ya moyo Mengine katu siwezi sahau Ila ninasamehe Ninasamehe Wala sio kwa ajili ya mtu Wala sio kwa ajili ya dunia Ila kwa moyo Wangu Na amani ya Kesho Ohoooo Ohooooo Eheeeee eheeeee Ahaaaaaaaa Nimesamehe Nimesamehe Nimesamehe Baki na Amani Nimesamehe Nimesamehe Nimesamehe Ili nisamehewe Ohoooo ohoo Ohooo ohoo Kwa ajiliiiiiiii Asante Yesu...
Writer(s): Goodluck Gozbert, Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out