Music Video

Lyrics

Uliniambia unanipenda sanaa Nikusaidieee Roho yako inauma ukinionaaa Nikuhurumieee Kwamambo mengi uliniumoza rohoo Kwa uyaonayoo Tabia yangu pia ilikuvutia Ikawa ndo ivyoo Kama dhumuni ilikuwa ni mapenzi Kupendana kwa dhati sijakizi Kuna wazushi na wanafki siku hizi Kupendana kwa dhati bila ilizi Nami nadhani ukuniamini Kwa yangu imani Sema na mimi basi Nami nadhani ukuniamini Kwa yangu Imani Sema na mimi basi Hadithi na hadithi
Writer(s): Ali Saleh Kiba Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out