Lyrics

Aliekuumiza mtafutie mwenziee Ili ukimpost akimuona aumie Tena mkiachana chunga usimrudi Post nyumba pesa gari ili ajutie Ndo mama mimi simuwazi Akichelewa kurudi naacha mlango wazi Tena namwambia aogope maradhi Akumbuke kinga asiende waziwazi Nishaumizwa nishateswa na mapenzi Nusu nitoke uhai uhai uhai Nishaenyeka sana Mi natoa mapesa wao wana furahi furahi furahiii Ukinichiti nakuchiti Ukiniacha nakuacha Kwani yani shingapi Ya nini tuumizane roho Ukinichiti nakuchiti Ukiniacha nakuacha Kwani yani shingapi Ya nini tuumizane roho Shii shi shishi Shishi shishi Mh shishi shishi shishi Shii shi shishi Shishi shishi Mh shishi shishi shishi Kidole changu kimoja hakivunji chawa Kama ukipenda boga penda na ua sawa Ata ukiniroga husizidishe dawa Nipe chuzi kunoga nijitanue mabawa Haya mapenzii hayanaga fundi Ouuh Haya mapenzi yalikuwepo toka enzi uuh Acha nilewe eeh acha nipombeke Aah stress zanini eeh pembeni nijiwekee Acha nilewe acha nipombeke eeh Stress za nini eeh pembeni nijiwekee Nishaumizwa nishateswa na mapenzi Nusu nitoke uhai uhai uhai Nishaenyeka sana Mi natoa mapesa wao wana furahi furahi furahiii Ukinichiti nakuchiti Ukiniacha nakuacha Kwani yani shingapi Ya nini tuumizane roho Ukinichiti nakuchiti Ukiniacha nakuacha Kwani yani shingapi Ya nini tuumizane roho Shii shi shishi Shishi shishi Mh shishi shishi shishi Shii shi shishi Shishi shishi Mh shishi shishi shishi Ukinichiti nakuchiti Ukiniacha nakuacha Kwani yani shingapi Ya nini tuumizane roho Ukinichiti nakuchiti Ukiniacha nakuacha Kwani yani shingapi Ya nini tuumizane roho
Writer(s): Hamis Shaban Makaranga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out