Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Zuchu
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Zuchu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Producer
Mr. LG
Producer
Lyrics
Ahaaa, ahaaa
Mmmh mmmh
Mr LG
Haaaa, hm
Mi staki tuongee
Moyoni nina machungu machungu
Sije tenda dhambi, mmmh
Ila chozi la mnyonge
Malipo ni kwa Mungu kwa Mungu
Bora nihame kambi, mmmh
Kama subira ina mwisho
Ina mwisho wake maana
Asali umeimaliza mzinga
Ukanifanya tahira
Suluhisho nimeona kwako hamna
Moyo wangu si wa mnina, najitua
Tunangombana kwa vitu vidogo
Kosa si kosa unageuka mbogo
Huna dogo wewe
Hunipendi unang'onga kisogo
Punda siendi eti bila magongo
Mpenda zogo wewe
Kukupenda tena sitaki!
Nimekoma sitaki!
Kukuona sitaki!
Narudia tena sitaki!
Kukuona sitaki!
Nimekoma sitaki!
Bora nihesabu kwa penzi nimepata
Hasara aah Oh hasara
Hasara aah
Hasara, hasara
Hasara ya roho, penzi imekwenda zake
Hasara aah Hasarani
Hasara aah Hasarani
Hasara, hasara
Kina cha maji matitukana
Cha mila boya nijifie
Kosa langu nini
Mchana naonaga usiku
Nachacha nyie maumivu niyasikie
Yasiwakute nyi... iiih
Na kama albadiri
Ya bayana umeniumbua
Umeniadhiri
Umeniacha mnyama na nguo umenivua
Kukupenda tena sitaki!
Nimekoma sitaki!)
Kukuona sitaki!
Narudia tena sitaki!
Kukuona sitaki!
Nimekoma sitaki!
Heee!
Bora nihesabu tu kama nimepata
Hasara aah Oh hasara
Hasara aah Iiih, hasara
Hasara, hasara
Hasara ya roho, penzi imekwenda zake
Hasara aah Hasarani
Hasara aah Hasarani
Hasara, hasara
Kwa mix Lizer
Haa, haa, haa...
Bora mi nibaki nalia
Haa, haa, haa...
Heey ye, no no no
Mmmh
Written by: Zuchu