Lyrics

Oh la-la-la-la Oh, la-la-la-la Oh la-la-la-la La-la-la-la Oh la-la-la-la Oh la-la-la-la Oh la-la-la-la Mr Leg Uzuri wako mashallah, we muzuri una vutia Una pendeza, una vyo nipa mpaka raha Ujuvu juice ya miwa, ndimu na kamuliwa Penzi pupwe la baizi Lime fitiwe seize Cheko na tabasamu, yani napewa Natafuta mashaidi jalali nifaidi Visiwa vya haramu vikachuliwa Umeniweza ah ya ah Umeniweza ah ya ah Umeniweza ah ya ah Umeniweza ah ya ah Tuna endana nyota mi nawe Huna baya kama mtoto mchanga Yangu pumzi nikupe wewe Nongwa kwetu ni sumu Ubaliko salama, liko salama Penzi pupwe la baizi Lime fitiwe seize Cheko na tabasamu yani napewa Natafuta mashaidi jalali nifaidi Jalali ni faidi Visiwa vya haramu vikachuliwa Umeniweza ah ya ah Umeniweza ah ya ah Umeniweza ah ya ah Umeniweza ah ya ah Ha, ha, Sultan, zero, zero, one Thanks a lot of Pozi kwa pozi Ommy Dimpoz Watala, watala, umeniweza
Writer(s): Inconnu Compositeur Auteur, Lugendo Zubery Kileo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out