Music Video

07 Rose Muhando - Mwambieni Mungu
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rose Muhando
Rose Muhando
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rose Muhando
Rose Muhando
Songwriter

Lyrics

Mwambieni Mungu Matendo yako yatisha Matendo yako yatisha Yatisha kama nini Njooni myatazame Matendo makuu ya mungu Atisha kwa mambo Awafanyaayo wanadamu Akikomesha vita Hata mwisho wa dunia Avunja maagano Ya miungu wabaya Avunjavunja uta Kwa maadui wabaya Alivyojisifia Atukuzwe mbiguni Na hapa ndipo Ninapomfurahia mungu Atatawala kwa uwezo wake milele Nitakuimbia wewe Nitakuinua wewe Nitakuhimidi wewe Nitakushukuru wewe Mungu wa rehema Nitakuinua wewe Nitakuhimidi wewe Nitakushukuru wewe Nitakuinua Eeh mungu we Nitalihimidi jina lako Eeh mungu we Nitakushukuru Eeh mungu we Mataifa washangilie Eeh mungu we Nitakuinua wewe Eeh mungu we Nitalihimidi jina lako Eeh mungu we Nitakusifia Eeh mungu we Mataifa washangilie Eeh mungu we Uinuliwe mungu wetu Uhimidiwe mungu wetu Ushukuliwe mungu wetu Baba wa rehema
Writer(s): Maureen Nkirote Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out