album cover
Kampeni
album cover
Kampeni was released on August 13, 2021 by Still Alive Productions/TML as a part of the album Kampeni
AlbumKampeni
August 13, 2021
LabelStill Alive Productions/TML
BPM74
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Verse 1]
Waliponikaribia na kuniaibisha eeh
Haukunyamaza ukanipigania eeh
Waliponivua utu na kulichana vazi langu la heshima
Ulinikumbatia nisiaibike
[Verse 2]
Waliposema mi mjinga, ujinga ninao
Sababu hekima haizidi upendo
Nilipo yafunika madhaifu yao
Kumbe tafsiri mi ni mjinga kwao
[PreChorus]
Hata nilipokaa kimya wewe uliona yote
Uliponyamaza hukuacha nife
Ninakushukuru ooh ooh chinedumo
Asante ooh ooh igwe
[Chorus]
Nitafanya kampeni za wema wako
Wajue Mungu ni mwema
Nitafanya kampeni za wema wako
Wajue Yesu u mwema
[Verse 3]
Unaponibariki bariki adui zangu
Ili wasinisonge kutaka uhai wangu
Unapopiga mapigo samehe rafiki zangu
Wanaoning'ata alafu wanapuliza puuh
[Verse 4]
Hata nilipokaa kimya wewe uliona yote
Uliponyamaza hukuacha nife
Ninakushukuru ooh ooh chinedumo
Asante ooh ooh igwe
[Chorus]
Nitafanya kampeni za wema wako
Wajue Mungu ni mwema
Nitafanya kampeni za wema wako
Wajue Yesu u mwema
Written by: Goodluck Gozbert, Timothy Boikwa
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...