Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nadia Mukami
Nadia Mukami
Performer
PRODUCTION & ENGINEERING
Alexis on the Beat
Alexis on the Beat
Producer

Lyrics

Kamoyo kangu kachoyo Ila kwako nimetulia Nairobi mpaka bagamoyo Anataka kunichumbia Sasa nalishwa, navishwa Naogeshwaaaa aaah Tena nalindwa napendwa Yule si wa kuficha aaah Picha kule kule Watapata taabu saaana Macho mbele mbele Ananipenda saanaa aaah Hakuna pingamizi kwetu Hakuna madrama huku kwetu Hatuna maneno huku kwetu Tunapendana kikwetu Aka kamoyo kangu nijipe (Nijipe) Ukinipenda sana nijipe (Nijipe) Aka kamoyo kangu nijipe (Nijipe) Ukinipenda sana nijipe (Nijipe) Mi mwenzako nawezaga kupenda sikatai (Kweli) Uh ndo nishazama usinipige kipapai honey Mi hapo kwako nishabwaga moyo usiulaghai (Kweli) Uh ndo ushakwama unachotaka sikatai honey Najua bado huamini haya yamekua (Yamekua ehh) Acha siamini Si Hakuna pingamizi kwetu Hakuna madrama huku kwetu Hatuna maneno huku kwetu Tunapendana kivyetu Aka kamoyo kangu nijipe (Nijipe) Ukinipenda sana nijipe (Nijipe) Aka kamoyo kangu nijipe (Nijipe) Ukinipenda sana nijipe (Nijipe) Mapenzi malove nawe Iwe shida au raha nitaponda nawe Nataka kapicha nawe Kumbusho pale tumetoka nawee Siamini leo ni mimi nawe (uuuuuh mama) Ni mimi na wewe Hizi pesa nitafute nawe (Uuuuuuh mama) Nitafute na wewe Lemme call you my dear This love is real not bandia If I love you hutakimbia Coz my love is real not bandia Si Hakuna pingamizi kwetu Hakuna madrama huku kwetu Hatuna maneno huku kwetu Tunapendana kivyetu Aka kamoyo kangu nijipe (Nijipe) Ukinipenda sana nijipe (Nijipe) Aka kamoyo kangu nijipe (Nijipe) Ukinipenda sana nijipe (Nijipe)
Writer(s): Faith Mukami Muendo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out