album cover
Mulofwa Moja
11,654
Afro-Pop
Mulofwa Moja was released on January 1, 1982 by Tamasha Records as a part of the album The Very Best Of Daudi Kabaka
album cover
Release DateJanuary 1, 1982
LabelTamasha Records
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM

Credits

Lyrics

Nilikutana na Mulofa mmoja
Alidanganya anatoka jela
Aliniambia sina pesa ya chakula
Nilikutana na Mulofa mmoja
Alidanganya anatoka jela
Aliniambia sina pesa ya chakula
Nilisikia na huruma sana, nilitoa na shilingi tano
Nikamwambia nenda ukale chakula
Nilisikia na huruma sana, nilitoa na shilingi tano
Nikamwambia nenda ukale chakula
Kumbe uwongo alidanganya
Ni siku nyingi ameshindwa kazi
Anatafuta njia yakupatia chakula
Kumbe uwongo alidanganya
Ni siku nyingi ameshindwa kazi
Anatafuta njia yakupatia chakula
Nilikutana na Mulofa mmoja
Alidanganya anatoka jela
Aliniambia sina pesa ya chakula
Nilikutana na Mulofa mmoja
Alidanganya anatoka jela
Aliniambia sina pesa ya chakula
Written by: Daudi Kabaka
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...