Lyrics

This is Barnaba Boy Classic. If loving you is a mistake You are my favourite mistake I love you boo boo And this is for you Usitafute mganga Kwa maradhi ulo beba Zidisha mahaba tu mmmh Mara saba ulikonipenda Iwe zaidi ya jana Binafsi nakupenda Wewe mmoja zaidi ya mamilioni Mbele ya macho tena sioni Asali wa moyo ni wewe tu, wewe tu, wewe tu Wa ubavuni uko wewe tu, wewe tu, wewe tu Wewe mmoja zaidi ya mamilioni Mbele ya macho tena sioni Asali wa moyo ni wewe tu, wewe tu, wewe tu Wa ubavuni uko wewe tu, wewe tu, wewe tu Ama utangaziwe nakupenda Pasi na wewe mi sio mzima Nakupenda mpaka kiama Habari zitangazwe Pasi na wewe sijalala Usingizi waniruka Aaii nakupenda Damu yako ichanganywe na yangu Kisha ipimwe Jibu litakuja lile lile Sababu twapendana Tazama macho yako Na yangu yakitazamana Umejaa kwenye roho yangu Ooh my love mama Kuna muda napata Goosebumps Ukiniita tu Vipi tukibaki wawili, oooh I can't control myself When I am with you beiby When am with you sugar, aiii Wewe mmoja zaidi ya mamilioni Mbele ya macho tena sioni Asali wa moyo ni wewe tu, wewe tu, wewe tu Wa ubavuni uko wewe tu, wewe tu, wewe tu Wewe mmoja zaidi ya mamilioni Mbele ya macho tena sioni Asali wa moyo ni wewe tu, wewe tu, wewe tu Wa ubavuni uko wewe tu, wewe tu, wewe tu Maneno na shida Tulizopitia leo iyee Ningelikuwa sina upendo Tusingeifikia leo eh eh My love eh I call you my hunny bunny (Yesa) My sugar baby ooh I call you my hunny baby (My sugar baby boo boo, boo boo boo) Wewe mmoja zaidi ya mamilioni Mbele ya macho tena sioni Asali wa moyo ni wewe tu, wewe tu, wewe tu Wa ubavuni uko wewe tu, wewe tu, wewe tu Wewe mmoja zaidi ya mamilioni Mbele ya macho tena sioni Asali wa moyo ni wewe tu, wewe tu, wewe tu Wa ubavuni uko wewe tu, wewe tu, wewe tu
Writer(s): Barnaba Elias, Elias Barnabas Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out