Lyrics

Oooo oooooo oooooh Na nimefumbua macho kuna wezangu wamelala Leo me ndo ninacho kunawezangu hawajala Japo umenitoa kwenye shimo Umenipa upendo usiokipimo Wakiitwa watu nami nimo Thanks lordy or the mercy Hali kadhalika nami nakosea si malaika Sijakamilika nikikosea tena MUNGU nisamehe Hali kadhalika nami nakosea si malaika Sijakamilika nikikosea tena MUNGU nisamehe Asaante MUNGU kwa wema wote Asaante MUNGU kwa wema wote Asaante MUNGU kwa wema wote Asaante MUNGU kwa wema wote Yah! Nasema asante kwa wema wote Ukarimu wako ndio umefanya me nisikose Victory ushanipea in full doses And I recover even when I take my losses Especially life ikinseti kwa kona Neno lako ndio me huwa na keti na soma Sjawai ku underestimate Najua ni performance cause you healed My momma time alikua adedi corona Another reason for me kurudisha mkono Kwangu hujawai kuwa mteja You never turned your phone off Cause everytime I call we hupick Same way every time I fall we hupick up Asante nasema Monday to sunday Nangoja one-day heaven ni pande tu banje Campaign lazima ipangwe anthem Na ndio hii sai nasema asante na shangwe Asaante MUNGU kwa wema wote Asaante MUNGU kwa wema wote Asaante MUNGU kwa wema wote Asaante MUNGU kwa wema wote How many times umenisave na huchoki I can't even count juu ni mob sana Nikiwa hunenge we hunibless na msosi Ceo kwa hii cheo we ndio boss bana In my heart umedunga base na hutoki Leo itajipa ata ka nlipitia alot jana Mkono ya matha ikisha rest kwa utosi A full guarantee hakuna kitu God hana Ju nikiomba ana answer Imagine anaponya mpaka cancer Youtman najua ni noma kupata janta Especially ka hujasoma mpaka campus But ukisema akuweke juu Atakutendea wema na asepe tu Hatakuitisha any he paid your dues Thats why kusema ahsante is a major rule Hali kadhalika nami nakosea si malaika Sijakamilika nikikosea tena MUNGU nisamehe Hali kadhalika nami nakosea si malaika Sijakamilika nikikosea tena MUNGU nisamehe Asaante MUNGU kwa wema wote Asaante MUNGU kwa wema wote Asaante MUNGU kwa wema wote Asaante MUNGU kwa wema wote
Writer(s): Khaligraph Jones, Alvin Handro, Salmin Ismail Hoza Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out