album cover
Lolo
7,600
Bongo-Flava
Lolo was released on November 17, 2023 by WCB Wasafi as a part of the album Swahili Kid
album cover
Release DateNovember 17, 2023
LabelWCB Wasafi
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
D Voice
D Voice
Performer
COMPOSITION & LYRICS
D Voice
D Voice
Composer
Abduli Hamisi Mtambo
Abduli Hamisi Mtambo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Maïko
Maïko
Producer

Lyrics

Kwahiyo ndo unadhani labda ningelia
Ulivyoniacha au labda ningeshindwa kula
Au labda unadhani ningekunywa sumu
Ulivyoniacha au labda ningeshindwa kulala
Kwanza lihusiano lenyewe lilipooza
Auna jipya style mpya umedoda
Maajabu hauna ndani pumzi kisoda
Nijinyonge kisa we unawazimu umerogwa
Aiiy ndo maana usiulizwe why uliachwa
Haujui kulamba lolo Haujui kulamba lolo
Usiulize kwanini uliachwa haujui kulamba lolo
Haujui kulamba lolo
Kwanza alafu hata haiyumi, Mbona hainikereketi
Mbona hata hichomi, Mbona hainipwiti pwiti
Alafu hata haiyiumi, Mbona hainikereketi
Mbona hata hichomi, Mbona hainipwiti pwiti
Aaaah eeeh eh! Hayaaa!
Uzuri wako wa filter unakudanganya
Umeniacha juzi jana nimepata bwana
Tena mtu mwenye hela alafu tunaendana
Tushakula viapo mi nae atuwezi achana
Ona kwanza kila siku unataka mchezo
Kwani huchoki kenge wewe
Na ukinyimwa tu unanuna paka upewe
Kibonge mayai upigi msamba paka ulewe
Ety haunipendi hainihusu utajuwa mwenyewe
Aiiy ndo maana usiulizwe why uliachwa
Haujui kulamba lolo, Haujui kulamba lolo
Usiulize kwanini uliachwa, Haujui kulamba lolo
Aaaah! Mbona lolo
Kwanza alafu hata haiyumi, Mbona hainikereketi
Mbona hata hichomi, Mbona hainipwiti pwiti
Alafu hata haiyiumi, Mbona hainikereketi
Mbona hata hichomi, Mbona hainipwiti pwiti
Aaaah eeeh eh! Wekaa!
Wanangu tuwarudishe shuleni
Masela shuleni
Tuwarudishe shuleni aah JM
Twende mkanda mkende mkindi mkondo
(Utakufa vibaya wewe) Maaama!
Kwanza mpamba mpembe mpimbi (Uongo)
Written by: Abduli Hamisi Mtambo, D Voice
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...