Lyrics

Taniua taniua taniua Kabaya Uuha (eeish Vince you killed this vibe) By the way mi hukuanga bigman, mi hukuanga bigman By the way mi husababisha, mi husababisha By the way mi hukuanga bigman, mi hukuanga bigman By the way mi husababisha, mi husababisha By the way, mi hukuanga bigman By the way, mi husababisha By the way, mi hukuanga bigman By the way, mi husababisha By the way Mi ni bibi ya mtu lakini nimekosa kitu mmh Mi hupata si issue, but you see it's very little Game ni tapo (tapo), alafu kitchen ni chapo (Chapo) Wife material kwa hao, chini ya dear mi ni h- (aai mzee) Just follow my lead aaha, unogopa nini mh I gat what you need, pewa shot basi Kama haikubambi (we kwenda) Unachoma picha (we kwenda) Kubleki kwa klabu (we kwenda) Unapenda vita (aah kwenda) By the way mi hukuanga bigman, mi hukuanga bigman By the way mi husababisha, mi husababisha By the way, mi hukuanga bigman By the way, mi husababisha By the way, mi hukuanga bigman (taniua) By the way, mi husababisha By the way Toto amenimiss chapa gawa leo na Bebwa ndani ya riz na madawa Leo ni mangoko na gin kama kawa Nikika seduce ona haga Babes naskia unanitaka Usinijaribu ntakuchapa na slippers leo utakipata Na nikimaliza aki utanifwata Ndio tuna pst tunaeza mate Tuanze kwa knee alafu neck Before tukiss tunaeza peck Ndio nikuset tunaeza bet Heri ning'ang'ane na maisha Mimi nguo zote namatisha Siezi kubali kuchoma picha Shida yangu kubwa ni kusababisha By the way mi hukuanga bigman, mi hukuanga bigman By the way mi husababisha, mi husababisha By the way, mi hukuanga bigman By the way, mi husababisha By the way, mi hukuanga bigman By the way, mi husababisha By the way Aah mkuruwein kiongozi, bigman Mi ndio barber na sinanga kinyozi Mi ni bigman ju nikizama utatoa machozi Bigman standa sticky waschana mapozi Naskia fity, amkia kiti mhesh wa kamitii Amefika achia nziki and then leta kachuma Na sima ambia mpishi, aeke 'tu nyanya na dania haiambishi 'Nzinapenda wat' ka nyinyi Maniggah wa mashariki tuko kaskazini Ex wangu ananipigia sijui ananitaftia nini Niko shehe na Kabaya fom ni tight ka mini Hao huniitanga bigman (bigman), bigman bazu Mbona ulambe chupa na nimeshika round two Bigman (bigman), bigman bazu Waiter sababisha alafu udiscuss na mkuu By the way mi hukuanga bigman, mi hukuanga bigman By the way mi husababisha, mi husabaisha By the way, mi hukuanga bigman By the way, mi husababisha By the way, mi hukuanga bigman By the way, mi husababisha By the way Beat killer
Writer(s): Vincent Odiwuor, Irma Obuchere Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out