Lyrics

Neno moja nimeliweka moyoni mwangu Neno lako limeujaa moyo wangu Neno moja nimeliweka moyoni mwangu Neno lako limeujaa moyo wangu Kwa yale umeyafanya Yameufanya moyo Nitaje lako jina Yesu mtenda mema Kwa yale umeyafanya Yameufanya moyo Nitaje lako jina Yesu mtenda mema Ati na mimi umeniheshimisha sana Huyu mimi niliyeonekana sina maana Ati na mimi umeniheshimisha sana Huyu mimi niliyeonekana sina maana Umenipa fungu langu Bwana Umerejesha yaliyopotea Umenifanya nisimame tena Kuwashinda wale walionibeza Umenipa fungu langu Bwana Umerejesha yaliyopotea Umenifanya nisimame tena Teenaa Tabibu (Mtenda mema) Umenitibu (Nimepona) Tabibu (Mtenda mema) Umenitibuu (Nimepona) (Kwa yale umeyafanya) (Yameufanya moyo) (Nitaje lako jina) (Yesu mtenda mema) Walioweka fikira zao na muda wao Kunishusha chini Ukayavunja mawazo yao Mipango yao Ikarudi chini Taa humulika mulika Juu yangu Nayo yangaza Nyota yangu We umenipa umenipa Ushindi wangu Nami natembea Juu kwa juu Tabibu (Mtenda mema) Umenitibu (Nimepona) Tabibu (Mtenda mema) Umenitibu (Nimepona) Taa humulika mulika juu yangu We umenipa umenipa ushindi wangu
Writer(s): Asheri K Wilbard, Suleiman Wilson Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out