Lyrics

Inaniumiza Hellow Heeey Hello Dear Ex Nimepata tetesi Za kwamba unanisema Ili nionekane si mwema Pengine una stress Maana umekonda mwepesi Kwangu ukimya si ukilema Ila nachunga vya kusema Maana niliubeba msalaba Ikawa mi ndo mama mi ndo baba Nikajichanga tujaze kibaba Mbona hausemi Kiume nilishukuru Nikapangusa matako nikakuacha uende Ukawe huru Range na duka ni vyako Nibaki na makende Na kama ulidhani ntafeli Unangoja basi uko feri Siku nikilewa mitasema ukweli Nchi ilivyogo na matapeli Sina hasira wala kinyongo Ila sipendi uongo Vijembe jembe na madongo Ukitaka kutrend Raundi hii hainaga Hainaga kutia huruma Hainaga kutia Hivi tuseme ndo nimejipata Hainaga kutia huruma Haina Haaiiiiiii Hainaga kutia Maana mbona nazidi kutakata Hainaga kutia huruma Hainaga Haaiiiiii Hainaga kutia Haiiiiiii Hainaga Hainaga kutia huruma haina Haiiiiiii Haiiiiiii Hainaga kutia Peke yangu nisingeweza Nisingeweza Kuna kitu Mungu kaniongeza Kaniongeza Ona nazidi kupendeza Ninapendeza Na niko bize na Feza Unacheka cheka tukuone ume-move on Mara unatuonyesha vya nguoni Uhali gani uko moyoni sema sema Unacheka cheka tukuone ume-move on Mara unatuonyesha vya nguoni Uhali gani uko moyoni sema sema Na kama ulidhani ntafeli Unangoja basi uko feri Siku nikilewa mitasema ukweli Nchi ilivyogo na matapeli Sina hasira wala kinyongo Ila sipendi uongo Vijembe jembe na madongo Ukitaka kutrend Raundi hii hainaga Hainaga kutia huruma Hainaga kutia Hivi tuseme ndo nimejipata Hainaga kutia huruma Haina Haaiiiiiii Hainaga kutia Maana mbona nazidi kutakata Hainaga kutia huruma Hainaga Haaiiiiii Hainaga kutia Haiiiiiii Hainaga Hainaga kutia huruma haina Haiiiiiii Haiiiiiii Hainaga kutia The End
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out