album cover
Nangoja
9,208
Christian
Nangoja was released on November 27, 2024 by Mathias Walichupa as a part of the album Nangoja - Single
album cover
Release DateNovember 27, 2024
LabelMathias Walichupa
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM84

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mathias Walichupa
Mathias Walichupa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mathias Walichupa
Mathias Walichupa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mathias Walichupa
Mathias Walichupa
Producer

Lyrics

Siachi
Nitasubiri ahadi zako (ooh)
Ninautambua, upendo wako
Juu ya maisha yangu (ouyee)
Ninazitambua, fadhili zako
Za mchana na usiku (ouwo-uuu)
Hata kwa hili ninalolipitia
Imani yangu ni kwamba litakwisha
Nitalizunguka Rohoni siku sita (6)
Kama Yeriko, Ya Saba litaanguka
Sichoki kukungojea, najua mawazo mema waniwazia
Siachi kuvumilia, nitasubiri ahadi zako kutimia
Imani yangu iko kwako we (ah-ah-ah-ah)
We haushindwi (ah-ah-ah)
Nakuamini (nitangoja utende)
Auchelewi, wala auwahi (ah-ah-ah-ah)
Ooh BWANA (ah-ah-ah-ah)
Mimi nitangoja (nitangoja utende)
Ooh-ooe
Chezaa Kompaaaa
Eeh, kila jambo na wakati wake
Najua na mimi wakati wangu upo
YESU wangu hawezi niacha
Atasimama na mimi (ouwo-uuu)
Japo nimesikia (nimesikia)
Maneno nayonenewa (maneno nayonenewa)
Yakunizuia kunikatisha tamaa, nianguke
Mimi nitalishika, lile uliloniambia
Maana neno lako ni Hakika, utafanya aah
Sichoki kukungojea, najua mawazo mema waniwazia
Siachi kuvumilia (nitasubiri)
Nitasubiri ahadi zako kutimia
Mimi Nakuamini (ah-ah-ah-ah)
Nakuamini (ah-ah-ah)
Hakuna gumu Kwako (nitangoja utende)
Subira yangu, Nitaiweka kwako(ah-ah-ah-ah)
Ooyeaa (ah-ah-ah)
Nitasubiri majira yako (nitangoja utende)
Chezaa Kompaaaa
Written by: Mathias Walichupa
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...