album cover
Muda
25,362
Christian & Gospel
Muda was released on May 16, 2025 by OSPO MUSIC GROUP as a part of the album Muda - Single
album cover
Most Popular
Past 7 Days
00:15 - 00:20
Muda was discovered most frequently at around 15 seconds into the song during the past week
00:00
00:15
00:20
00:25
00:40
00:50
01:00
01:05
01:15
01:25
01:45
01:55
02:20
02:25
02:30
03:00
03:05
03:15
03:40
00:00
03:47

Credits

PERFORMING ARTISTS
Joel Lwaga
Joel Lwaga
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Joel Lwaga
Joel Lwaga
Songwriter

Lyrics

Ji tu
Ni kweli naonekana niko Nyuma
Kila kuchicha Watu washamiri kwa magari majumba
Juzi, juzi
Wengine tulikuwa nao sawa tu
Ila kwa sasa si wenzangu tena siwagusi hata nukta
Ni kama niko duniani kuwasindikiza wao
Usioptulia unaweza sema Mungu ni wa peke yao
Ila maisha ni kama foleni inajongea Mdogo Mdogo
Mungu wao ndio Mungu wangu ndio wa Isaka na Yakobo
Wakati na Bahati, huawapata wote
Zamu yangu itafika wacha niiongejee
La maana ni uhai Mungi ni wote
Ndio anapanga aanze nani, nani afuate
Yani ni suala la Muda
Muda, nipeni tu Muda
Mungu ni wa wote jamani
Muda, nipeni tu Muda
Yani ni suala la Muda
Muda, nipeni tu Muda
Kikubwa niko kwa foleni
Muda, nipeni tu Muda
Najua wengi husema kila asiyenacho hunyenyekea
Ila nimemwomba Mungunisibadilike Akinipea
Vila nawaona Watu na kuwachukulia nikiwa Sina
Nisije jiona Mungu Mtu pinda mombo yakiniyookea
Najitahidi kugawana hichi kidogo
Nilichonacho na wenzangu
Nimejifunza kwamba kutoa ni Moyo
Sio mpaka kiwe kingi changu
Kwenye sadaka sinaga visingizio
Hio ni kama Pai kwangu
Hata nikiwa sina kabisa siku hyo
Mungu anaujua Moyo wangu
Na wakati na Bahati, huawapata wote
Zamu yangu itafika wacha niiongejee
La maana ni uhai Mungi ni wote
Ndio anapanga aanze nani, nani afuate
Yani ni suala la Muda
Muda, nipeni tu Muda
Mungu ni wa wote jamani
Muda, nipeni tu Muda
Yani ni suala la Muda
Muda, nipeni tu Muda
Kikubwa niko kwa foleni
Muda, nipeni tu Muda
Yani ni suala la Muda
Muda, nipeni tu Muda
Mungi ni mwanimifu
Muda, nipeni tu Muda
Maana maisha ni foleni kila siku inatembea pole pole
Namwamini Mungu ipo siku nitafanikiwa
Maana maisha ni foleni kila siku inatembea pole pole
Namwamini Mungu ipo siku nitafanikiwa
Kweli ni saula la Muda
Muda, nipeni tu Muda
Muda ni mwaminifu jamani
Muda, nipeni tu Muda
Written by: Joel Lwaga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...