Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Alikiba
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ally Salehe Kiba
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Uliniambia unanipenda sanaa
Nikusaidiee
Roho yako inadunda ukinionaa
Nikuhurumiee
[Verse 2]
Kwamambo mengi uliniumoza rohoo
Kwa uyaonayoo
Tabia yangu pia ilikuvutia
Ikawa ndo ivyoo
[Verse 3]
Kama dhumuni ilikuwa ni mapenzi
Kupendana kwa dhati is not easy
Kuna wazushi na wanafki siku hizi
Mapenzi ya kweli ninairidhi
[Verse 4]
Nami nadhani hukuniamini
Kwa yangu hii imani, sema na mimi bas
Nami nadhani hukuniamini
Kwa yangu hii imani, sema na mimi bas
[Chorus]
Hadithi nahadithia hadithi leo
Hadithi nahadithia hadithi tamu (Wangu njoo)
Hadithi nahadithia hadithi leo
Hadithi nahadithia hadithi tamu (Wangu njoo)
Hadithi nahadithia hadithi leo
Hadithi nahadithia hadithi tamu (Wangu njoo)
Hadithi nahadithia hadithi leo
Hadithi nahadithia hadithi tamu (Wangu njoo)
[Verse 5]
Dharau na matusi yote nilivumilia
Wakiwemo marafiki wote wakishuhudia
Heshima ya mapenzi pale-pale
Japo hujaridhia
[Verse 6]
Ugomzi wetu faida usiwape
Waliodhumia aah
Kama kupenda ni dhambi, hii basi
Narudi zangu kwa Mola niombee radhi
[Verse 7]
Ninahisi kama mi ni mkosaji
Ningependa kuoa mtoto wa kijiji
Nami nadhani hukuniamini
Kwa hii yangu imani sema na mimi
[Verse 8]
Na ninadhani Dar hukuniaminv bas
Kwa yangu hii imani, sema na mimi bas
[Chorus]
Hadithi nahadithia hadithi leo
Hadithi nahadithia hadithi tamu (Wangu njoo)
Hadithi nahadithia hadithi leo
Hadithi nahadithia hadithi tamu (Wangu njoo)
Hadithi nahadithia hadithi leo
Hadithi nahadithia hadithi tamu (Wangu njoo)
Hadithi nahadithia hadithi leo
Hadithi nahadithia hadithi tamu (Wangu njoo)
[Verse 9]
Once I does prince that I never knew who came to me
And she never disagreed before the love she gave so easily
What I want for us is just to be a family
To be with you forever less till eternity
[Verse 10]
Sometimes I think why it's all a misery
'cause perhaps am forcing you, loosing all my dignity
You are the only one, the only one I need
You're always gone ahead, my life and here tryna flow
[Outro]
The only one and I, the only one and I
The one in and only
Tell me what you want
History Alii
Written by: Ally Salehe Kiba
