album cover
Mombasa
album cover
00:00
00:05
00:30
00:50
01:00
01:20
01:35
01:45
02:00
02:05
02:35
00:00
02:43
Past 7 Days
Mombasa was discovered most frequently in the first few seconds of the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

[Intro]
Mombasa aaahh
Mombasa aaahh
001 uh yeah yeah
Mombasa aaahh
Kanibari kutoka
Mombasa aaahh
[Verse 1]
Mtu na mpenzi, lakini sidekezwi
Mi mpenzi mtazamaji
Mtu na kwetu, ntakuwa fala
Kama samaki akifa kwenye maji
Acha nionekane sijiwezi
Siri ya mtungi naijua kata
Ni mara ngapi nimeumizwa nikalia
Uliza hili jicho
[PreChorus]
Hawa watu hawa
Hivi kweli ni watu wa Mungu hawa?
Mbona hawana huruma hawa?
Dar es Salaam mtanitoa roho yangu
Me siwezi kuishi bila kupendwa
[Chorus]
Bora niende, Mombasa aaahh
Nikajaribu, zali langu mimi, Mombasa aaahh
Naomba mnipokee, eh, Mombasa aaahh
Abdullswamad nateseka mimi, Mombasa aaahh
[Verse 2]
Nipate mtoto wa mtu nimpende
Nimpende salamu zifike bongo
Dhahabu chini ya mtende
Na mi nitulize ubongo
Nachoka mimi nachoka
Kulia lia kama mtoto
Basi nijipate nitulie
Ushanitosha msoto
[PreChorus]
Hawa watu hawa
Hivi kweli ni watu wa Mungu hawa?
Mbona hawana huruma hawa?
Dar es Salaam mtanitoa roho yangu
Me siwezi kuishi bila kupendwa
[Chorus]
Bora niende, Mombasa aaahh
Nikajaribu, zali langu mimi, Mombasa aaahh
Naomba mnipokee, eh, Mombasa aaahh
Abdullswamad nateseka mimi, Mombasa aaahh
Written by: Kanibal Creator, Marioo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...