Credits

PERFORMING ARTISTS
Imuh
Imuh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Mwambogoso
Ibrahim Mwambogoso
Songwriter

Lyrics

Onana nana nana e
Imuh
Wala sina hasira moyoni sina jealousy
Siina
Umenionyesha diraa
Kuwa mkono mtupu haulambwi
Hayoo hayoyoo
Hii hali kuna muda hata mwenyewe naichukia
Na nilishindwa kukutunza
Why nilaumu umenikimbia
Halichoka kula mlo mmoja
Hatubadilishi
Nyama masaptasapta
Aliishia kuyaona kipindi cha mapishi
Kuliko kunichiti kunidhihaki
Bora ulivosema unatak uende
Me kiroho safii Nime bless
Acha ni force tu kusaka tonge
Masikini mimi
Sikulaumu sikulaumu
Hakuna tuzo ya maisha mabaya
Sikulaumu sikulaumu
Alicho fanya kwangu naona sw
Sikulaumu sikulaumu
Wala sina kinyongo na yeye
Sikulaumu sikulaumu
Heeeee hali hali hali hali
Sio shwari kutwa kilemba
Ndani madera mawili
Kila siku nguna na kachumbari
Umejitahidi sana kufika miaka miwili
Nashukuru umeniacha kwa
Taarifa kwa hii hali ngumu hata
Mwengine asinge aga kabisa
Sio wigi tuu nilishindwa hata ped kununua umevumilia vingi boo
Ndo mana silaumu ulicho amua
Kuliko kunichiti kunidhihaki
Bora ulivosema unatak uende
Me kiroho safii Nime bless
Acha ni force tu kusaka tonge
Masikini mimi
Sikulaumu sikulaumu
Hakuna tuzo ya maisha mabaya
Sikulaumu sikulaumu
Alicho fanya kwangu naona sw
Sikulaumu sikulaumu
Wala sina kinyongo na yeye
Sikulaumu sikulaumu
Oooh ooh
Nae binadamu anamoyo wa tamaa
Macho yalizidi giza ndo mana
Alitafuta taa
Issa yambata
You can call me zuzu
Written by: Ibrahim Mwambogoso
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...