album cover
Kaniacha
3,650
Pop
Kaniacha was released on December 13, 2024 by Ziiki Media as a part of the album The Big One
album cover
Release DateDecember 13, 2024
LabelZiiki Media
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM100

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Rayvanny
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Raymond Shaban Mwakyusa
Raymond Shaban Mwakyusa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Beat Killer
Beat Killer
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Sijui namba yangu alifuta
Hivi huwaga ananikumbuka
Mapenzi yetu yalikufa aah
Nimekuja kuvuta shuka, kumekucha
[Verse 2]
Aliniambia ananipenda nikalemaa
Huba nzito fukizo Pemba nikala raha
Leo siamini amekwenda nakesha bar
Mjanja wa mjini amnijenga kwenye mataa
[PreChorus]
Picha zake natamani nichome
Sura yake sitamani nione
Maumivu kwake, nkifanyaje nikuone
Penzi lake limefanya nikome
[Chorus]
Kaniaacha shemeji yenu
Kaniaacha mchumba wangu
Kaniaacha shemeji yenu
Kaniaacha mchumba wangu
[Verse 3]
Bado siamani aah hivi ni mimi da
Wakushindwa kula na kunywa na wala sihisi njaa
Nilikuamnini ah, umefanya nini na
Bado moyo una majeraha ntapona lini ma
[Verse 4]
Mona wewe unaenjoy
Umeshamove on una amani
Ona mimi niko hoi
Yamenichosha mapenzi siyatamani
[Verse 5]
Aliniambia atanipenda kwa sida na raha
Mapenzi yote nilojenga leo jeraha
Bado siamini nilompenda kanikataa
Kweli maumivu yakutendwa hayana shujaa
[PreChorus]
Picha zake natamani nichome
Sura yake sitamani nione
Maumivu kwake, nkifanyaje nikuone
Penzi lake limefanya nikome
[Chorus]
Kaniaacha shemeji yenu
Kaniaacha mchumba wangu
Kaniaacha shemeji yenu
Kaniaacha mchumba wangu
Written by: Raymond Shaban Mwakyusa
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...