Credits
PERFORMING ARTISTS
Beka Flavour
Performer
Bakari Katuti
First Cello
COMPOSITION & LYRICS
Bakari Katuti
Songwriter
Lyrics
SAMIA CHAPA KAZI
Intro…
Samia eeh Samia eeh
Verse 1
Kwa uongozi wako tumeridhika aah Mama kua Rais una kila sifa,
Mengi mazuri yako yameonekanika nchi chini yako mbali itafika mbali itafika fika aah,
Miradi yote uloachiwa umeimliza aah ahaa,
Na mingine kibao umeianzisha aah aaha,
Mwingine nani kama si wewe Samia aah ahaa,
Subiri mvua ya kura kumwagiwa aaha,
Ishirini ishinatono Raisi Samia eeh,
Ishirini ishinatano wapinzani kazi wanayo,
Ishirini ishinatano Raisi Samia eeh
Ishirini ishanatono wapizani kazi wanayo,
Chorus
Samia mitano tena Samia eeh
Kipenzi cha watanzania Samia eeh
Mama Samia mitano tena Samia eeh
Kipenzi cha watanzania Samia eeh,
Verse 2
Ni naniiii wakushindana na wewe mama ishirini ishinatano Raisi wetu ni wewe Mama,
Kwa niniii tusikuchague wewe mama
Sisi umetupendeza hatuhitaji mwingine tena,
Wanajifanya hawaoni mazuri uliofanya shukurani ya punda mateke binadamu wengine siwema ,
Ata ufanye kipi hawaridhiki wamejaa unafikii Samia mama wapuuze wazandiki iih,
Ishirini ishinatano Raisi Samia eeh,
Ishirini ishinatano wapinzani kazi wanayo,
Ishirini ishinatano Raisi Samia eeh,
Ishirini ishinatano wapinzani kazi wanayo,
Chorus
Samia mitano tena Samia eeh
Kipenzi cha watanzania Samia eeh
Mama Samia mitano tena Samia eeh
Kipenzi cha watanzania Samia eeh,
Auto,
Mama Samia chapa kazi ooh chapa kazi,
Hussen Mwinyi chapa kazi ooh
Mzee Wasira chapa kazi ooh chapa kazi,
Doctor Mpango chapa kazi ooh chapa kazi,
Na Majaliwa chapa kazi ooh chapa kazi,
Doctor Nchimbi chapa kazi ooh chapa kazi,
Amosi Makala chapa kazi ooh chapa kazi.
Written by: Bakari Katuti

