Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Beka Flavour
Beka Flavour
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Beka Flavour
Beka Flavour
Songwriter
Bakari Katuti
Bakari Katuti
Songwriter

Lyrics

Mafia Kibenten Maximizo Kibenten Utafute wewe nije kula mimi Maumivu nayajua, nilishang'atwa na nyoka far away Nikiona jani naugua, nahisi yatanirudia yale Sina koti kwenye mvua, ikinyesha acha tu nilowe Nahisi utakuja kunisumbua, 'cause mi sifanani na wewe Kuuziwa mapenzi sitaki, acha tu nitafute mwenyewe Nikipata nkikosa sawa, sitaki mi kulelewa na wewe Umenipita vitu vingi sana, hata uhuni sifanani na wewe Niliye nae ataumia sana, kama mali zako kula mwenyewe Unajibalaguza balaguza ile kwa sana Unaniwinda kila chocho kila kona Vizawadi zawadi kwangu havina maana Noo Unajibalaguza balaguza ile kwa sana Unaniwinda kila chocho kila kona Vizawadi zawadi kwangu havina maana Noo, noo Kibenten, sijazoea kufungiwa ndani Kibenten, utafute wewe nije kula mimi Kibenten, sijazoea kufungiwa ndani Kibenten, ninunuliwe mpaka nguo ya ndani Ooh ooh eeh aaah Kuna maradhi yaja kwa tamaa, yah ukiendekeza Nimsalititi mpenzi ninaempenda, kisa tamaa ya fedha Ni usia zamani mama alinidokeza Ganda la ndizi baya nikilikanyaga, naweza nikateleza Chunga wasiwasi ndo akili, mabaya yalipitia mbali Najua kuna guest na jela, yasijenitokea puani Malipo kutafuna pilipili, itakuwasha kinywani Nakinga upepo kibatari, sitaki kuishi kizani Unajibalaguza balaguza ile kwa sana Unaniwinda kila chocho kila kona Vizawadi zawadi kwangu havina maana Noo Unajibalaguza balaguza ile kwa sana Unaniwinda kila chocho kila kona Vizawadi zawadi kwangu havina maana Noo, noo Kibenten, sijazoea kufungiwa ndani Kibenten, utafute wewe nije kula mimi Kibenten, sijazoea kufungiwa ndani (siwezi kuwa) Kibenten, ninunuliwe mpaka nguo ya ndani Hii ih, siwezi Kutulia niletewe na sugar mamy, nguvu ninazo Huuuh siwezi Oooh huuuh Maximizo
Writer(s): Bakari Katuti Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out