album cover
Muda
album cover
Muda was released on September 25, 2025 by SONIC TZ as a part of the album MUDA - Single
ReleasedSeptember 25, 2025
LabelSONIC TZ
LanguageEnglish
BPM133
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Sonic they call me sonic
We ndo ulikuja kuniokoa nisikuongopee nilitingwa vibaya
Ata kichwani sikopoa nishauzaga roho nikaamua kua malaya
Ubaya atuzaliwi nao dunia inatupandikiza mana tunaowapenda ndo hao hao wanaotumaliza kabisa
Najua nakudhalilisha nipe muda nitajirekebisha
Mwenzako nilikua nisha zoea nalewa mpaka najikojolea
Godoro nimenunua mimi lakini nalala chini ili nipate usingizi
Sijui nilikumbwa nini nakupenda niamini
Nipe muda nitabadilika
Huyu sio mimi baby mimi mbona najijua
Kwasasa niko kama chizi ila wakati ndo utaamua
Swala ni muda
(Instrumental)
Verse 2
They call beer testa zee la vimbweta
Nagida nyingi nikizima wananicheka
Kunamuda nakesha usiku nalia nishimo gani hili nimetumbukia imezimika haiba na nuru usoni kunguru ata nioge siponi
Ukikata tawi ukaenda ata tokea wapi wa kunipendaa
Mwenzako nilikua nisha zoea nalewa mpaka najikojolea
Godoro nimenunua mimi lakini nalala chini ili nipate usingizi
Sijui nilikumbwa nini nakupenda niamini
Nipe muda nitabadilika
Huyu sio mimi baby mimi mbona najijua
Kwasasa niko kama chizi ila wakati ndo utaamua
(Instrumental)
Written by: SONIC TZ
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...